Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Ni kama vile ulikuwa akilini mwangu.
Kila nikijaribu kuwaza tofauti ngoma inakataa kabisa.
Nahisi hili kombola ametumiwa kipara.
Kuna kitu kimoja ambacho walio wengi hamjui kuhusu January!
Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm! Hivi unajua ccm wameingiza PC ngapi kwa ajili ya uchaguzi?
Nanda masaki ofsini kwa makambq
 
Mtoto alipona?!
 

Hahah fiksi za JF
 
Nasubili jina lake. 👮
 
Kuna kitu kimoja ambacho walio wengi hamjui kuhusu January!
Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm! Hivi unajua ccm wameingiza PC ngapi kwa ajili ya uchaguzi?
Nanda masaki ofsini kwa makambq
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu hawawezi kuwekeza nguvu nyingi kwenye tehama . Mwaka huu mbona kama wapo wenyewe tu wanajiamulia % ngapi ya ushindi wa kimbunga wanautaka.
 
Samia kila akifungua mdomo anajidhihirisha kuwa hana uwezo, ni rais wa mipasho.

Ama angemtaja huyo mtu wazi na kumchukulia hatua kwa kuvujisha nyaraka za serikali, au angenyamaza kimya.

Hizi habari za mafumbo mafumbo zinaweza kuwapaka matope watu wengi ambao hata hawahusiki, zinathibitisha habari ambazo mapaka sasa zilikuwa hazijathibitishwa na zinamfanya rais aonekane mdhaifu tu.
 
Mpaka sasa bado analia na Liberata Rutageruka MulaMula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…