Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Acha porojo kinachopigiwa kelele ni kuzuia huduma muhimu kufika gaza hayo mabomu apige tu
 
waliposhambulia israel hawakuyajua haya?
 
Acha porojo kinachopigiwa kelele ni kuzuia huduma muhimu kufika gaza hayo mabomu apige tu
hv una akili ya bata mbuz ww , unataka huduma kwa raia wako wkt wangu umewashika mateka , tumia akili mpuuz ww , jamaa kakuandikia kila kitu ila bado uzezeta wa hiyo dini unakuzuia kuelewa , ukishika mateka watu 100 mimi nawaweka mateka watu wako wote
 
Sio kweli, hiyo Jordan yenyewe 60% ya raia wake ni wapalestina!!
Walichosema ni kwamba wakiondoka hapo Israel inaweza occupy Gaza na kufanya sehemu ya Israel.
Ndio kipigo kinaendelea humo mlango kwa mlango na kusema wasiondoke ni kwamba wafe wote humo humo ili wafutike.
Lebanon aliweka mitambo ya nyuklia ilichapwa ikalipuka na wakapewa pole
 
Mtoa mada hivi unaijua kweli history ya Jordan au unaropoka tu, hio nchi karibu 70% ni wa Palestini unatakiwa uwe unafikiria kabla ya kuzuka tu na kuleta mada hujui history za nchi.































































We ungejiuliza kwanini waisrael Europe waliwafukuza, kwanini nchi za Europe zinawasaidia usidhani kwa kuwapenda wanawaogopa wasirudi huko sababu kila wakienda mahali lazima kuwe na balaa la vita, kama vile Palestine waliwapokea afu wakawageukia hawa wa Israel tukiwambia wana lana za Mungu nyie mnabisha eti vipenzi vya Mungu 😄































































Vipenzi vya Mungu hawaogopi kufa, wao niwaoga kufa unajua sababu gani? Mungu alisha sema kwenye Qur'an kama wakristo na waisrael wanadai wao ndio watu wa peponi wambieni waombe kifo?















Pia lazima ufahamu hata wanao jidai waislam kwa majina ni kama hao wayahudi, na wakristo wanaogopa kufa, ukitaka kufahamu waislam kweli tazama Gaza hao ndio waislam hawatishiki na kifo wanajua wazi waendapo ni bora kuliko kubaki kwenye hi dunia.


Natanyahu anawambia wandishi wa habari wa Israel, hi vita viongozi wa kiarabu ndio wanampa support ili awamalize Hamasi, wanaogopa viti vyao, mara ya kwanza nakubaliana na Natanyahau hata kama nimuongo hapo kaongea 100%.

Viongozi wa kiarabu hawataki wagombea haki kama Hamasi, hawataki Hamasi ashinde vita hi sababu na wao wataondelewa madarakani.
















Ungejiuliza ni nchi ngapi za Europe zimewafukuza waisrael fatilia history zao.
 
Elimu
 
Acha porojo kinachopigiwa kelele ni kuzuia huduma muhimu kufika gaza hayo mabomu apige tu
Gaza ya kaskazini kuna hamas, na israel hawataki hamas wapewe chakula, wala mafuta kwasababu mafuta yanatumiwa kwenye majenereta yao. israel walishawapa wapalestina muda wa kutosha sana wahame northern Gaza ambako ndiko kwenye jiji na mahandaki. 1.1 million peopel wamekimbilia kusini, na huko ndiko kwenye lango la kuingia misri na ndiko misaada inakopitia. misaada imelenga wale milioni moja na ushee waliokimbilia kusini mwa Gaza, hailengi wale wabishi waliobaki kaskazini wanaosaidiana na hamas. hao hakuna hata roli moja litapiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…