Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

kama misri na jordan waislam na waarabu wenzao wanawaogopa, sisi ni nani tuwakaribishe?
Sasa Jordan atachukuaje wakimbizi wa Gaza au hata ramani ya Hilo eneo hamlijui, ingekuwa vita westbank sawa
 
Sasa Jordan atachukuaje wakimbizi wa Gaza au hata ramani ya Hilo eneo hamlijui, ingekuwa vita westbank sawa
uwa wanazunguka wanaenda, jordan kuna wapalestina milioni karibia 3, hao wa Gaza huwa wanazunguka misri.
 
Kabla ujapost ujinga jaribu kuuliza au kusoma historia haya chukuwa hii itakusaiidia.

Zaidi ya wakimbizi milioni 2 wa Kipalestina waliosajiliwa wanaishi Jordan, idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wote wa Kipalestina..

Acha ushabiki mandazi.

Takbiiiiiiir
 
Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari?

Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine.

Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui.

Issue ni kuwa nchi hizi zinaogopa jini waliloliunda wenyewe, haha, wanawaelea muziki wake ndio maana hawataki waingilie.

Hawataki kufanya kosa kama kipindi Lebanon ilivyofanya kosa kuchukua wakimbizi kutoka Palestine alafu wakaanzisha mavuragano nchini mwao.
Jibu ni Moja tuu kumejaa vibaraka wa Marekani.

Palestine wanadai Ardhi Yao,popote wakikaribishwa lazima waanzishe harakati za kujikomboa kutoka huko huko

Sasa hizo Nchi za vibaraka zinaogopa kichapo
 
Wamekataa kwasababu wakienda Huko Israel itavunja Nyumba zao itajenga maghorofa na kuweka waya ndefu za umeme Mkali hivyo eneo linaondoka..Hamna kingine...Pia Waarabu hawana ushirikiano hawaaminikini kama sisi Ngozi nyeusi tu
 
Kuna majitu ni majinga sana jitu halijui chochote lakini linajifanya juwaji.
 
Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi and Jordanian King Abdullah II have issued a joint statement condemning the “collective punishment” of Palestinians during the “Israeli aggression on Gaza.”

Both leaders stood by their policies of refusing refugees from Gaza, stating that to do so would enable the “displacement” of the Palestinian population.
 
Kuna sijui ndio ujinga au ushabiki, hiki kitu kipo wazi na dunia nzima inajua
Halafu mtu anauliza kwanini Egypt haiwapokei? Hakuna mtu kutoka Gaza
wabakie wafe na hamas ndivyo hamas hutaka hivyo
 
Wamekataa kwasababu wakienda Huko Israel itavunja Nyumba zao itajenga maghorofa na kuweka waya ndefu za umeme Mkali hivyo eneo linaondoka..Hamna kingine...Pia Waarabu hawana ushirikiano hawaaminikini kama sisi Ngozi nyeusi tu
[emoji16][emoji16]
 
Hv ni wamekataa au hakuna room ya watu wa gaza kutoka nje ya gaza?
Kuna watu akili ndogo afa wanajitapa kuanzisha nyuzi zinazohitaji kufikiri sans, wspalestina wamezungukwa kila upande and no room to escape wakisaidiwa na muuaji mkuu, Taifa la mashetwan USA, na wamefungua safe route moja tu nsko still inaangaliwa sana mkijichanganya mnakula vimondo tu.
 
Kuna watu akili ndogo afa wanajitapa kuanzisha nyuzi zinazohitaji kufikiri sans, wspalestina wamezungukwa kila upande and no room to escape wakisaidiwa na muuaji mkuu, Taifa la mashetwan USA, na wamefungua safe route moja tu nsko still inaangaliwa sana mkijichanganya mnakula vimondo tu.
hawajazungukwa kila mahali, wameachiwa njia kutoka kaskazini waje kusini, na wengi wamepita njia hiyo. karibia watu 1.1 million wameondoka Gaza ya kaskazini ambako israel ilitoa wito watoke, na wapo kusini ambako misaada inawafikia kupitia mpaka na Misri. kusini kuna geti la mpaka na misri na huko ndiko misaada inaingilia na ndio miaka yote misaada huingilia. wangekuwa wamezungukwa kama unavyosema, hao walioenda kusini wangekuwa wamepita wapi? ukweli ni kwamba, wapalestina ni wabishi sana, wanaiona hatari ila wanasubiri wafe ili dunia iwaonee huruma dhidi ya israel,

wakiona roketi zinarushwa na hamas kwenda israel wanafurahia, israel akisema hapo paliporusha roketi ondokeni nataka kupiga wao wanabaki ili wakifa dunia iwaonee huruma. tangu october 7 hadi usiku wa leo ambao israel imeingia Gaza, roket zimekuwa zikurushwa kwenye makazi ya watu israel, hazirushwi kupiga wanajeshi wa israel, zinarushwa kwenye makazi ya watu, lakini hakuna nchi za kiarabu hata moja zinazosema hamas wasitishe roketi ili mazungumzo yafanyike, wao wanaitaka israel isitishe mashambulizi, utasitishaje mashambulizi wakati adui anaendelea kurusha roketi kwenye makazi ya raia wako?

wanasema wapalestina wanauawa ni kweli wanakufa na ni kitu kibaya lakini kwanini wanatetewa tu wapalestina na kuwaacha raia wa israel (ambao sio wanajeshi) waendelee kupigwa na roketi?umeshaona hata nchi moja ya kiarabu imelaumu hamas kuendelea kurusha roketi? ungelikuwa na akili ungefikiria kichwani mwako kwamba wote wawili wanafanya mabaya na wanatakiwa kusitisha mapigano. Hamas ambao ndio walikuwa wachokozi wanatakiwa kusitisha roketi na warudishe mateka ambao sio wanajeshi ni raia, ili nchi zinazoheshimika ziiendee israel zikimwambia ndugu angalia hamas wamesitisha mashambulizi na wamerudisha mateka, wewe tu ndio unapiga, hebu sitisha mashambulizi. israel ingekataa kila mtu angeishangaa, lakini mtu anasema isitishe wakati hamasi hawasitishi mashambulizi, kwanini wasitishe israel tu wasisitishe na hamas? mmejiona msivyo na akili za kufikiri?

hivi chukulia mfano, idi amin dadaa alivyoishambulia Tanzania, sisi tukampa kipigo, angekuwa hajakimbia uganda akaendelea kurusha makombora mwanza na kagera, na sisi tukawa tunamshushia kipigo, nchi za nje zikasema Tanzania sitisheni mashambulizi, bila kulaani kile amini anachofanya na wala kumwambia amni pia kwamba na yeye asitishe mashambulizi, ungewaelewa? si ungejiona kama dunia nzima imekutelekeza wapo upande wa adui sasa kilichobaki ni wewe kujipigania peke yako kwasababu hakuna atakayekuamulia hatma ya maisha yako? hicho ndicho kinachoendelea pale. hamas wasitishe roketi kwenye makazi ya watu na warudishe mateka ili israel iamue kusitisha mashambulizi kwasababu hata wao wanajua mauaji yameshafanyika sana, wangetamani kusitisha lakini utasitishaje wakati wananchi wako wako mateka gaza na roketi hata leo usiku bado zinarindima kupiga Ashkelon kwenye makazi ya raia?
 
Kwanza siamini Mungu apendelee jamii flani hizi story za kutunga zina leta maafa makubwa sana
 
Back
Top Bottom