Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nani mkuu?How? Mbona tuna experts wa finance kwenye kurugenzi ya fedha na investments ni vile tu Mbowe alikua ndio final say.
Rodrick Lutembeka, mtaalamu wa industrial economics na consultant wa PwC kwa miaka mingi sasa.Kama nani mkuu?
Experts wa Finance wanakuwa wazuri kukiwa na Top leadership ambayo ipo well organized with thorough business mindset... Siwaoni hapo kwenye CDM mpya.
Jumapil njema kaka
But he doesn't hold the organization vision...Rodrick Lutembeka, mtaalamu wa industrial economics na consultant wa PwC kwa miaka mingi sasa.
Safi naamini katika mabadiliko.🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze.
Kwa nini ujiunge? 🗳️
✅ Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa
✅ Changia harakati za demokrasia
✅ Pata fursa za kushirikiana na wanaharakati wenzako
Kadi unayochagua inaonyesha mchango wako kwa harakati:
💎 Tanzanite: TZS 500,000
💎 Diamond: TZS 200,000
💎 Platinum: TZS 100,000
🥇 Gold: TZS 50,000
🥈 Silver: TZS 25,000
🥉 Bronze: TZS 10,000
Kila mchango unahesabika!
Hatua za kujiunga ni rahisi:
1️⃣ Pakua CHADEMA Digital App kwenye App Store au Google Play.
2️⃣ Chagua kadi unayoitaka.
3️⃣ Lipa kupitia njia za kidijitali.
Ni rahisi!
Msaada unahitajika? Wasiliana nasi kupitia namba 0654714343 kwa maelezo zaidi au msaada wa usajili. Tupo hapa kwa ajili yako!
Tunaweza kuleta mabadiliko! Jiunge leo, toa mchango wako, na uwe sehemu ya historia. Pamoja tunaweza kujenga taifa lenye haki na usawa.
🎯 Je, umejiunga? Tuambie kadi uliyochagua! Hebu tuhamasishe wengine kujiunga katika harakati hizi. Tunahitaji kila mmoja kwa safari hii. 🇹🇿✊
#JiungeNaCHADEMA #WanachamaWenyeNguvu #MabadilikoYaKweli #CHADEMA2025
umekuwa kama hayawani siku hizi,hujui kipi ni kipiHakika
Nilisubiri uchaguzi nijue uelekeo wa Chama, now naweza kuchukua hiyo kadi.[emoji1241] CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze.
Kwa nini ujiunge? [emoji2792]
[emoji736] Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa
[emoji736] Changia harakati za demokrasia
[emoji736] Pata fursa za kushirikiana na wanaharakati wenzako
Kadi unayochagua inaonyesha mchango wako kwa harakati:
[emoji184] Tanzanite: TZS 500,000
[emoji184] Diamond: TZS 200,000
[emoji184] Platinum: TZS 100,000
[emoji1628] Gold: TZS 50,000
[emoji1627] Silver: TZS 25,000
[emoji1626] Bronze: TZS 10,000
Kila mchango unahesabika!
Hatua za kujiunga ni rahisi:
[emoji2389] Pakua CHADEMA Digital App kwenye App Store au Google Play.
[emoji2390] Chagua kadi unayoitaka.
[emoji2391] Lipa kupitia njia za kidijitali.
Ni rahisi!
Msaada unahitajika? Wasiliana nasi kupitia namba 0654714343 kwa maelezo zaidi au msaada wa usajili. Tupo hapa kwa ajili yako!
Tunaweza kuleta mabadiliko! Jiunge leo, toa mchango wako, na uwe sehemu ya historia. Pamoja tunaweza kujenga taifa lenye haki na usawa.
[emoji457] Je, umejiunga? Tuambie kadi uliyochagua! Hebu tuhamasishe wengine kujiunga katika harakati hizi. Tunahitaji kila mmoja kwa safari hii. [emoji1241][emoji110]
#JiungeNaCHADEMA #WanachamaWenyeNguvu #MabadilikoYaKweli #CHADEMA2025
Hivi tawala huwa hawasomi jumbe Kama hizi ili warekwbishe panapopwaya? 😀 Au ni wapuuziaji wanaoamini katika uzamani uliowapa madaraka!Hili ni sahihi mkuu.
Mimi ni mmoja wapo.
I support CHADEMA anonymously nikiamini ndiye msaada pekee uliyebaki wa kutuokoa na udhalimu huu tena baada ya kukufua matumaini kutoka kwa viongozi waliochukua hatamu majuzi kati.
Sio kwamba siwezi kui support CHADEMA waziwazi ila nadhani wakati sahihi wa mm kufanya hivyo haujafika.
Tufunike kombe, Sultan Mbowe alichezea sana mapato ya taasisiNinawashauri, tupo tayari kununua kadi na kuchangia chadema! Tunaomba mapato na matumizi ya fedha za chama kuanzia 2015-2025.
Kukipa nguvu chama na kukomesha utawala dhalimu wa kijaniFaida ya kuwa na hizo kadi?
Chama ni taasisi, hakiwezi kuwa na chanzo kimoja so hiki ni moja tu kati ya vyanzo vingi vya mapato ya taasisi, changia...ukiona huwezi kausha wengine tuchangie.But he doesn't hold the organization vision...
Hii kampeni ya Changia CDM sijui nini, ni one of the failure ya leadership.
Huwez kuhamasisha watu wawe wanachaplma pekee... you will never make it...
Chama kama CDM ina wepenzi wengi na washabiki, na sio kwamba hawaoni umuhimu wa kuwa mwanachama, issue hapo ni risky involved ..
Hata wanaoipigia debe mitandaoni wanajinasibu kwamba mimi sina chama chochote cha siasa.. blabla..
Tap on that!
Taja vyanzo vitano..Chama ni taasisi, hakiwezi kuwa na chanzo kimoja so hiki ni moja tu kati ya vyanzo vingi vya mapato ya taasisi, changia...ukiona huwezi kausha wengine tuchangie.
Vunjeni kundi la Mbowe tujenge chama, naona bado hamjakubaliana na demokrasia..ijishindikana kuna vyama zaidi ya 18 waweza kuchagua.Kama nani mkuu?
Experts wa Finance wanakuwa wazuri kukiwa na Top leadership ambayo ipo well organized with thorough business mindset... Siwaoni hapo kwenye CDM mpya.
Jumapil njema kaka
hakuna kipindi kibaya kuwahi kutokea Tanzania kama 2015-2025.Hivi tawala huwa hawasomi jumbe Kama hizi ili warekwbishe panapopwaya? 😀 Au ni wapuuziaji wanaoamini katika uzamani uliowapa madaraka!
Maumivu ya kichwa huanza polepole
Chadema ilikuwa chini ya ukoloni.Taja vyanzo vitano..
Manongea kama vile CDM imeanza leo..
Mimi nimeanza changia harakati za CDM kabla haijaja kijijini kwenu
Sawa!Kukipa nguvu chama na kukomesha utawala dhalimu wa kijani