gud for him? ardhi wana walimu wa kutosha?[/QUOTE]
mkuu kabla yake alikuwa prof. IDRISSA KIKULA ambae sasa yupo UDOM, huyu nae ni mzanzibar na anashutumiwa kwa kuweka wanzanzibar wengi kwenye admistration, kuanzia alivyokuwa ardhi hadi asaiv UDOM. kaaaaaz kwel kwel.
Kama hiyo ndiyo sababu ya kutaka Slaa awe rais wako basi ndugu yangu umepotea!
Chadema bwana! Yaani nchi hii mnataka iongozwe na wakristo tuu? Mbona hapa ofisni kwangu wakristo ni 95%? Waislamu wakilalamika; mnasema hawakusoma! Wakisoma wakipewa madaraka --oooh udini!
Haya ngoja Rais awe Padri Slaa mfurahi!
Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.
Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.
Nawakilisha.
ACTUALLY UNGEJUA KWAMBA SIKULENGA DINI WALA USINGESEMAKama hiyo ndiyo sababu ya kutaka Slaa awe rais wako basi ndugu yangu umepotea!
to me hii ya kusema professor hainiingi akilini coz most of them ni wazee wa nadhari na failures, ndio maana profesa mzima anafuga ng'mbe kinondoni au ubungogud for him? ardhi wana walimu wa kutosha?
Mkeshaji, sio kabla ya hapo alikuwa as if kuwa board chair ni full time job, Prof. Mshoro bado ni Makamo Mkuu wa Chuo cha Ardhi. Ila pia kabla ya uteuzi huu kwenda TIRDO, Prof. Mshoro alikuwa ndie Mwenyekiti wa bodi ya VETA mpaka mwezi huu wa April alipomaliza miaka yake 4.
Angalizo!, wana JF tuache kuishabikia hii sumu ya udini kwenye kila teuzi za JK, tufike mahali tuwakubali wateuliwa hawa kwa sifa walizo nazo na sio kwa dini zao. Na kama kuna ukweli dini fulani iliwahi kupendelewa kushika nyadhifa zote za juu kipindi fulani nyuma, then affimative action to redress situation hiyo ni halali kabisa mbele ya wapenda hahi wote!.
Mimi ni Mkristo, tena Mkatoliki, lakini najiamini ni mpenda haki, kama Waislamu wanataka mahakama ya kadhi, wapewe!, si yao na ni ya mambo yao?!, mbona huko nyuma ilikuwepo na hakukuwa na matatizo yoyote?.
Kama wanataka OIC kwa ajili ya maendeleo, tujiunge tuu, mbona Kenya na Uganda zimejiunga na hawana matatizo ya udini?.
Tuwe na upendo wa dhati mioyoni mwetu kwa watu wasio wa dini zetu, tuwatendee haki!.
Pasco.
Mkeshaji, angalia usije ukawa umechoka mpaka ubongo, kufuatia ukeshaji, kabla ya comment yangu ya tuache udini, niliweka 'Angalizo!, wana JF', wewe angalizo hili hukuliona kutokana na uchovu wa kukesha, ana ulimaanisha angalizo hilo lilikuhusu wewe mkeshaji ndio mimi nikaiutwa 'wana JF' nikimaanisha mkeshaji?.Pasco,
Nashukuru kwa kunikumbusha hasa hapo kwenye wekundu.
Unasema tuache kushabikia udini, unaweza ukanithibitishia ni wapi nimeitaja dini ya Mshoro au ni wapi nimesema kuwa JK kamteua Mshoro kwa sababu ya dini yake? Usilazimishe vile unavyowaza ukadhani ndiyo mawazo yaliyomo kichwani kwa mwenzio, na ndo maana hata humu jamvini kila mtu ameupokea ujumbe huu kwa namna anavyofikiria yeye.
Kuhusu suala la watu fulani kupendelewa wakati wa kipindi fulani, una ushahidi na hilo?
Kuhusu suala la wewe kuwa Mkatoliki, hatuna uthibitisho na hilo. Kuna watu wengi humu jamvini na kwingineko kwenye social websites wanatumia majina ya bandia; kwa hiyo si ajabu kumkuta muislamu anatumia jina la kikristo au na mkristo la kiislamu halikadhalika
Mkeshaji, sio kabla ya hapo alikuwa as if kuwa board chair ni full time job, Prof. Mshoro bado ni Makamo Mkuu wa Chuo cha Ardhi. Ila pia kabla ya uteuzi huu kwenda TIRDO, Prof. Mshoro alikuwa ndie Mwenyekiti wa bodi ya VETA mpaka mwezi huu wa April alipomaliza miaka yake 4.
Angalizo!, wana JF tuache kuishabikia hii sumu ya udini kwenye kila teuzi za JK, tufike mahali tuwakubali wateuliwa hawa kwa sifa walizo nazo na sio kwa dini zao. Na kama kuna ukweli dini fulani iliwahi kupendelewa kushika nyadhifa zote za juu kipindi fulani nyuma, then affimative action to redress situation hiyo ni halali kabisa mbele ya wapenda hahi wote!.
Mimi ni Mkristo, tena Mkatoliki, lakini najiamini ni mpenda haki, kama Waislamu wanataka mahakama ya kadhi, wapewe!, si yao na ni ya mambo yao?!, mbona huko nyuma ilikuwepo na hakukuwa na matatizo yoyote?.
Kama wanataka OIC kwa ajili ya maendeleo, tujiunge tuu, mbona Kenya na Uganda zimejiunga na hawana matatizo ya udini?.
Tuwe na upendo wa dhati mioyoni mwetu kwa watu wasio wa dini zetu, tuwatendee haki!.
Pasco.
Thanks mkkuuProf. Mshoro, namfahamu tangu nikisoma Engineering-UDSM, ni mtaalam mzuri sana na ni kiongozi mzuri pia. Nimebahati kufanya nae kazi wakati nikiwa kiongozi wa wanafunzi pale Engineering ni mtu mwenye uwezo mkubwa ki-utendaji. Kwa upande wangu naona anastahili kupewa nafasi hiyo. Tuache kuangalia watu kwa misingi ya imani yao bali uwezo wake katika kutekeleza nafasi aliyo pewa. Hii tabia iliyo-anza kujijenga hapa JF ya kumtathimi mtu kwa kuangalia jina lake na kuhihusisha na imani yake siyo nzuri kabisa na inaweza kusababisha chuzi ndaji ya jamii. Tumjadili mtu kwa uwezo wake wa kuweza kutekeleza nafasi aliyo pewa. Mimi nina imani ya kikristo lakini kwa uteuzi huu raisi amemchagua mtu makini na mwenye uwezo mkubwa kiutendaji, mtu yeyote aliye soma pale Engineering upande wa Mechanical au Chemical atakuthibitishia hili.
Mkeshaji, angalia usije ukawa umechoka mpaka ubongo, kufuatia ukeshaji, kabla ya comment yangu ya tuache udini, niliweka 'Angalizo!, wana JF', wewe angalizo hili hukuliona kutokana na uchovu wa kukesha, ana ulimaanisha angalizo hilo lilikuhusu wewe mkeshaji ndio mimi nikaiutwa 'wana JF' nikimaanisha mkeshaji?.
Hili la kutaka ushahidi wa watu wa dini fulani kupendelewa wakati wa kipindi fulani, usitaka kutonyesha makovu ya madonda ya nyuma kuleta maumivu upya!
Nimejitanabaisha, kwa sababu inaelekea kuna watu ninao diriki kuwaita 'wapuuzi puuzi' wanaotaka kuingiza udini kwenye kila teuzi itakayofanywa na rais, ati kisa dini ya rais, inafanana na ya mteuliwa!.
Hilo angalizo nililoliweka mimi, ulitakiwa ulitoe wewe mwanzisha thread, sio kuacha thread ikidivert kwenye udini, huku ukitetea kuwa "humu jamvini kila mtu ameupokea ujumbe huu kwa namna anavyofikiria yeye" !.