Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
wana JF, Haya mambo ya udini tumekuwa tukiweka mizaha lkn ipo siku tutalia kifo cha kusaga meno! Kwangu mimi nachukua nafasi hii kumpöngeza Prof Mshoro na hasa wazazi wake kwa kuwekeza kwenye elimu. Kwa mji wa Tabora ambao wenyeji wengi wa pale hawakujali elimu dunia na kujishughulisha zaidi na elimu za kiimani. Sikusudii kusema zile imani wengi mnaoziamini tu. Mji wa Tabora ni miongoni mwa miji mikongwe sehemu kubwa ya wakazi wake wana amini dini za kale kama maswezi, migabho nk. Ni nadra sana kupata wasomi wawili wazuri tu kutoka kwenye familia moja kama ya Arehemu Sheikh Mshoro wa pale Mwanza Road. Hawa jamaa Idrisa na ndugu yake yule pamoja na kutoka kwenye familia ya sheikh kwa wanaowafahamu watakubaliana na mimi kuwa walishaasi huo 'uislamu' Prof tumepiga naye maji pale Survey kuanzia Mikoroshoni Bar kwa mama nguruwe hadi Tamarilo pale nyuma penye umaarufu fulani. Mshoro TRA ndiye mmiliki wa baa zote pale zenye jina la RUFITA kuanzia pale Sinza Mori siku hizi maarufu kama Big Ben hadi kule Kinyerezi bila kusahau ile bendi ya Banza Stone, Rufita Connection. Uko wapi udini wa kina Mshoro hapa zaidi ya sisi humu ndani ambao udini ni kwa yule ambaye ni mtu tofauti na dini yako. Tanzania tunaletewa dini nyingine muda mfupi ujao itakuwa na mashabiki wengi ambao hata msahafu wa dini hiyo hawajawahi kuuona na bila shaka kiongozi wa dini atatoka humu JF kama sio Chama cha Magamba!
Wapi palipoandikwa kuwa Mshoro anahama kutoka Ardhi kwenda Tirdo? Wewe ndo umeelewa hivyo, wenzio wengine wote wameelewa inavyopaswa kueleweka.
Wewe ndio umeelewa ulivyooelwa na hao wenzio wengine wote ni kina nani? Soma maelezo ya rangi nyekundu hapo chini aliyaandika nani? Acha kujifanya wewe Mwalimu Mkuu wa kuwasemea wengine!
Vijana wa kiislam Tanzania wanahitaji kuthaminiwa na kuona matunda ya miaka 50 ya uhuru wa nchi yao.
Napendeka wanafunzi wote wa vyuo (waislam na wakristu) wafanye maandamano nchi nzima ya kumpongeza Mh Rais Dr JK kwa uteuzi huu.
Huyu si fisadi mwenzake hana akili kabisa
aliteuliwa na huyo huyo kutatua matatizo ya atcl wakawa wanalipwa doller 100 kwa kufika atc na kwenda tcaa demn 'him mwisho wa siku ripoti ikaishia kwenye kabati za familia ya bwa na bibi (mjomba wake mkulu) ambae sasa ni waziri wa elimu ..unaweza jua shuguli iliopo....uko!!!
Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.
Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.
Nawakilisha.
Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.
Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.
Nawakilisha.
Kwani kosa liko wapi hapo ? kwani muisilamu hana haki ndani ya nchi hii ya Tanganyika ? kweli hapo ndio nakubaliana na mashekh wanaposema mfumo kristo ndio unatawala Tanganyika maana uteuzi wa mtu mwenye jina la kiisilamu tu munapiga kelele, mbona wakiristo muna roho ya husda kisi hicho ? hakuna mulilonalo ila ni kuwapiga vita waisilamu Tanganyika na duniani kote kwa ujumla kumbukeni yana mwisho hayo.

to me hii ya kusema professor hainiingi akilini coz most of them ni wazee wa nadhari na failures, ndio maana profesa mzima anafuga ng'mbe kinondoni au ubungo

nadhani kuna gap ya kujua kwamba usomi na uprofesa ni tofauti na kwa wenzetu waweza ukawa profesa una degree mbili

i dont think tanzania inahitaji maprofessor kwenye sekta ya maendeleo maana wengine wakuna ni profesa wa algebra anapewa wizara ya sayansi, wakati wizara inahitaji strategist na sio bundi au bookworm

Mkuu hapo kwenye red ni kinyume chake, nadhani hujui au unajaribu kudanganya juu ya dhuruma ya uislam kwa wakiristo.

Somalia: Muslims murder convert from Islam to Christianity

New Christian Convert from Islam Murdered in Somalia, from Compass Direct News, April 20:

Two Muslims in Somalia on Monday (April 18) murdered a member of a secret Christian community in Lower Shabele region as part of a campaign to rid the country of Christianity. An area source told Compass two al Shabaab militants shot 21-year-old Hassan Adawe Adan in Shalambod town after entering his house at 7:30 p.m.

Nigeria: Charred bodies line road as Muslims rampage after Muslim presidential candidate loses election

Charred bodies line road to Kano after riots sweep region after presidential vote, from the Associated Press, April 19.

Smoke rose above this city in Nigerias Muslim north where rioting broke out again Tuesday after opposition muslim protesters in the region set fire to churches and homes when official results from the national election showed that the Christian incumbent had won the vote.

Egypt: A non-Muslim should not rule over Muslims:

Egypt protests against Christian governor continue, by Mariam Fam for Bloomberg, April 20.

Protesters in the southern province of Qena some blocking a railway line, are demanding the resignation of a Christian governor....

A non-Muslim should not rule over Muslims, Mohammed Hamza, a 29-year-old who has been participating in the demonstrations, said in a telephone interview from Qena. This guy could be shot at if he shows up here.
Mtoa hoja hakuwa na mtazamo wa udini ila mchangiaji mmoja tu na amekemewa vilivyo nadhani ni kibaraka wa CCM
Hapa tunajadili CV na c dini. Hakuna mtu anayeweza kuwagawa watanzania kwa kigezo cha UDINI :A S 465:
Ukiitwa Idrisa ni Muislam?
Kati ya wewe unaelalamika na mh rais nani mdini? jiangalie mwenyewe
Nyani haoni...
Jaman tuacheni kuleta udini bwana.