Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Jumanne sio mbali, ngoja tusubiri!
Mzigo unatolewa kesho j3 tarehe 30...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumanne sio mbali, ngoja tusubiri!
Sasa tuone kama watamsusia JK.
Nape huko aliko pua limevimbaa....
Mkuu tunashukuru kwa taarifa lanini,binafsi sijaemewa hebu fafanua hizi kura zilipigwa lini?
CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3
Mkuu tunashukuru kwa taarifa lanini,binafsi sijaemewa hebu fafanua hizi kura zilipigwa lini?
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!