JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

Kama wangeondoa kipengere hicho wangekuwa hawajamtendea haki mhanga wa serikali tatu marehemu Mvungi!
 
iliyoko ni rasimu itapita kwenye bunge la katiba ambalo tunajua wajumbe wengi watatoka chama tawala lakini wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi kwa kifupi tusitegemee katiba bora kwani badala ya kujadili mambo ya msingi iliegemea kwa wanasiasa huku tukishuhudia mauaji ya wakulima na wafugaji kuendelea
 
ngoja mijitu kama Lizaboni hammy dada, T2015CCM iamke.
 
Mambo mapya yameibuka huku mitaani hususani kwa wanachama wa CCM kuingiwa na hofu baada ya Jaji Warioba Kukabidhi Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Rais.

Hofu ilitanda baada Kauli mbiu ya Viongozi wa Kitaifa wa CCM kama Bulembo Nape Kinana na hata Mzee Kingunge kukataa Mfumo wa Serikali 3 na kupigia chapuo mfumo wa seikali 2 na Rais kutopunguziwa Madaraka.

Hata hivyo baada ya Nape Nnauye na Kinana kufanya kampeni kuzunguka nchi nzima kuponda Wapinzani na Wanaharakati pamoja na Wale Waliopendekeza Serikali 3 bado Wananchi Wameipitisha Rasimu ambayo ina mambo ambayo ccm hawakupenda yaguswe ila yamepita kwa 64%.

Hapo ktk 64% ndipo wanaccm waliposhituka kuwa kwa takwimu hzo si nzuri kwao kwani ni kiashiria kwa wao kutokubalika kwa wananchi kama ilivyo kwa Wapinzani hasa cdm waliozunguka na mapendekezo yao wananchi wameyakubali kwa 64%.

Swali rahisi ni kuwa ccm kwa walivyojinasibu kuwa wanawanachama wengi kumbe sivyo ilivyo waliambulia 36% tu.

Watanzania sio wale wa zidumu fikira za fulani.

CCM nendeni na wakati na wala msipinge yale ya Wapinzani maana ni aibu mwisho wa siku.
 
safi sana,unafiki sio mzuri,hii ikipita,kesho utamuona au kumsikia nape akisema serikali tatu ni agenda yao.
 
Mkuu tunashukuru kwa taarifa lanini,binafsi sijaemewa hebu fafanua hizi kura zilipigwa lini?
 
CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3
 
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
 
hii ndio tanzania tunayoiota,yanatimia sasa. you can fool all people,but you cant fool all people all times!! lumumba hakukaliki sasa!!
 
Mkuu tunashukuru kwa taarifa lanini,binafsi sijaemewa hebu fafanua hizi kura zilipigwa lini?

Mkuu hyo ni asilimia ya watanzania wote waliotoa maoni yao.
Utakumbuka Nape alizunguka kuhamasisha watu wasikubali serikali 3
Wakati cdm wakipita na kauli mbiu ya serikali tatu hali iliyopelekea Mwigulu kuipeleka tmu ya Simba kumzuia Slaa jimbon kwake Iramba.
Kutoa maoni kuna kushinda na kushindwa.
 
Ina maana tunatakiwa kukaa mkao wa kuandika katiba ya TANGANYIKA.
 
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!

Ndio maana nilimaliza kwa kusema watanzania sio wale wa zama za ndio mzee.
Na sijasema wanachama wa Upinzani nimesema CCM waangalie nini Wananchi wanataka ili isiwe aibu kwao.
 
Sasa ndo nimeona kazi ya zile Chopper za Chadema maana Warioba alisema hata taasisi za serikali walipendekeza serikali tatu!

Ccm ushawishi wenu uko wapi? Zanzibar asilimia 60 wanataka muungano wa mkataba (agenda ya Cuf) Bara 61% serikali tatu (agenda ya CDM)
 
Nape atakuja kusema CCM ikikuwa inataka Serikali tatu na hivyo rasimu imetimiza matakwa ya ccm......

Ccm ni chama chenye laana..
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
 
Back
Top Bottom