JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!

mwanaccm yupi aliyeunga mkono serikali tatu hadharani ukimtoa mansoor ambaye aliishia kuukosa uwakilishi wake????????
 
Sasa ndo nimeona kazi ya zile Chopper za Chadema maana Warioba alisema hata taasisi za serikali walipendekeza serikali tatu!

Ccm ushawishi wenu uko wapi? Zanzibar asilimia 60 wanataka muungano wa mkataba (agenda ya Cuf) Bara 61% serikali tatu (agenda ya CDM)

Hata shule za kata ni sera ya chadema.
 
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.

Mamdenyi umejitoa ufahamu?
Tuko kwenye katiba ww unazungumzia uchaguzi mkuu?
Hata hvo nakumbuka ccm walikua na madiwani wote 17 jimbo la Arumeru mashrk na Walipigwa chini kujiamini kukizidi ni shida.
Kikwete kila siku anawaambia mjiandae kisaikolojia kwani ameona mmelewa madaraka hamtaamini kwamba sasa ni mwsho wa utawala wenu.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

inaonekana wewe hujui namna research zinavofanywa kunakitu kibaitwa sample size, watu Au vitu vichache kuwakilisha wengi.
 
...basi komaeni na serikali mbili mpaka mwisho muone mnavokula cha mbavu asubuhi na mapema...
Hakuna jipya mbona tulishawagagadua wakati wa Serikali 3? leteni Serikali hata 4 tutawagagadua tu.
 
Ila sasa,nachokiona ni kwamba suala la katiba lilikua ni ni la mwenyekiti wa ccm peke yake,na yeye ndo anayeenda nalo

Ndo maana aliwaambia wajiandae kisaikolojia.
Nakumbuka kingunge alisema hiyo sio sera yao wamevunja katiba ya chama.
 
Wabongo wenye uwezo mfup wa kudadavua mambo utawafaham tu,wanashabikia vitu ambayo havjakuwa na tamati ake,kwanza hyo n rasim,pili inaingia bunge la katiba inachambuliwa tena na wajumbe b4 kuja kwa wenye nch ambao ndo ss wananch,tunapendekeza ipite au isipite,so mie ngependa ili tuweze ipata Tanzania yetu tulioitaka tuache kabsa sherekea porojo za wachumia tumbo yaan wanasiasa wote wa CCM,Chadema,Cuf,Tlp,Udp,Sau na wengneo wengi,tukianza CCm cjui kaanguka utayaona ya CDm unayohis ndo bora kwako jins yatakavokuwa
 
Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn

mkuu kunawatu hapa ni majanga kiukweli, kamawamesoma wamesomea vyuo gani, hawajui hata research za fanywa vipi.
 
Mkuu hyo ni asilimia ya watanzania wote waliotoa maoni yao.
Utakumbuka Nape alizunguka kuhamasisha watu wasikubali serikali 3
Wakati cdm wakipita na kauli mbiu ya serikali tatu hali iliyopelekea Mwigulu kuipeleka tmu ya Simba kumzuia Slaa jimbon kwake Iramba.
Kutoa maoni kuna kushinda na kushindwa.

Acha kuropoka na kutoa povu ww,unaposema asilia ya watz wote unamaanisha nn?
nway ngoma bdo mbich ukitaka ichezwe kwa itikad ya vyama utafurah nakwambia hadi Gongo mtatuhalalishia wana haram Nyie
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Tunamsubiria Nape aje aseme Serikali tatu kuwa ilikuwa ajenda ya CCM....

Chama cha wehu..
 
Tatizo ni Kauli ya Viongozi wenu majukwaani ,waziwazi wamesema hawautaki Muungano wa Serikali 3.. Sasa ikiwa Kiongozi wa CCM kasema,tutakuamini vp wewe!? Viongozi wa CDM walitamka waziwazi kua wanahitaji Muungano wa Serikali 3,hivyo hata kama kuna mwana CDM aliupinga,haileti maana kwani watu tunaamini kua Kauli ya Kiongozi ndio Kauli na msimamo wa Chama!

Awali ya yote mimi si MwanaCCM ni raia huru nisiye na Chama (Independent),Pili ndugu yangu wakati mwingine ni vizuri mka-form independent opinion bila ya kuwa-influenced na Wanasiasa itawasaidia sana,Imagine kuna Viongozi ndani ya Chadema waliwahi kumtaka Baregu ajitoe katika Tume kwakuwa hawakuiamini Baregu alipogoma kujiuzulu mkaanza kumkejeli kuwa ameshanunuliwa lakini leo hii mmekuwa wa kwanza kusifia kazi nzuri ya Tume ambayo hamkuiamini,Je bado mnawaamini Wanasiasa?Misimamo ya Viongozi wa Chadema na CCM hayana maslahi mapana ya Watanzania wengi hivyo hata hata wao wenyewe hawakubaliani 100% ndani ya Vyama vyao.
 
Ni vizuri ikakumbukwa kuwa watanzania waliowanachama wa vyama vya siasa hawazidiasilimia 20.
Hii inajumuisha wanachama wa vyama vyote vya siasa nchini.
Hivyo hiyo 64% haimaanishi kuwa wanasuport chama flani.
Noo.

Hata wakati wa uchaguzi wanapiga kura na hakuna mgombea binafsi kwa hyo wanapigia watu wasio mizigo.
 
Acha kuropoka na kutoa povu ww,unaposema asilia ya watz wote unamaanisha nn?
nway ngoma bdo mbich ukitaka ichezwe kwa itikad ya vyama utafurah nakwambia hadi Gongo mtatuhalalishia wana haram Nyie

Sasa kusema % yote ya watanzania waliotoa maoni ni tatizo?
 
Utafiti wa Warioba umezingatia barabara za lami tu tena Manispaa na majiji tu, amehoji watu 1,500,000x64/100= 960,000(Laki Tisa na sitini) wanawezaje kutuchagulia Historia ya nchi?
Warioba na wenzake kibarua cha Tume kimemwisha wakapumzike acha bunge likatuletee Rasmu yenye Mashiko ya serikali mbili.
Hatuwezi kubeba gharama za kuhudumia watu kila kukicha badala ya Maendeleo.
 
Back
Top Bottom