JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

Hofu ya wanaccm ni kuwa viongozi wao wamekosa ushawishi mbele ya jamii hawawezi kulisimamia jambo likapita kama alivyokuwa Nyerere.
Itakuwaje ktk chaguzi zijazo ambapo daftari litaboreshwa na kuingiza vijana ambao watatakiwa kushawishiwa ili waikubali ccm?
 
haijalishi watoa maoni wametoa maoni kutaka nini...
take it from me snitch..... serikali mbili ndio mpango mzima whether you like it or not
 
dah ! Noma sana aisee ! Yaani ccm inapukutika huku inajiona , kweli dunia tambara bovu sana !
 
haijalishi watoa maoni wametoa maoni kutaka nini...
take it from me snitch..... serikali mbili ndio mpango mzima whether you like it or not

naomba kuuliza , hivi wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm ?
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

sitaki kuamini kama wewe ni mtupu kiasi hivi. brother yani hapo ndio mwisho ea upeo wako?!
 
kweli akili yako ndogo,katika tafiti kuna kitu wanaita sample na sample size yetu ndo hiyo,watanzania wote huwezi kuwahoji,hata sensa huwa wote hawahojiwi,hata jk alipotapa 81% awamu yake ya kwanza si watanzania wote wamepiga kura,naamini unaweza ukawa umeelewa
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
 
Ni jambo la kuchekesha sana kuamini CCM ina hofu ni hofu ya nini haswa? CCM ilisimama na Serikali 2 kwa Sababu ndio waasisi wa huu mfumo na pia bado wanaamini unafaa. Niwaambieni kwamba ukweli Chadema wasiamini kwamba uwepo wa serikali 3 labda wataambulia japo kaserikali kamoja kutakuwa na Serikali hata 10 bado wananchi wanaihitaji CCM na kama hamuamini ni suala tu la kusubiri na kuona Mnapigwa Tanganyika, mnapigwa Zanzibar na Mwisho mnakung'utwa Tanzania na mtasema tena Katiba haifai bora ile ya zamani kwa vile Bunge la Tanganyika bye bye CUF na baraza la wawakilishi ni CCM vs CUF na la Bunge la Muungano 80% CCM 15% CUF 5% CDM ndipom mtaposema katiba haifai Warioba mjanja sana kawaingiza choo cha kike ni suala la kusubiria tu na kuona.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Who are you? Pambafu kubwa jinga weye!
 
Hapo ulipo sijui unafanywa nini, naona kama akili imekutoka
 
mkuu haya maoni yameratibiwa na serikali ya ccm iliyochaguliwa na hao hao wananchi , sasa sijui kwanini ccm ijiogope yenyewe?? sioni mantiki ya uzi wako
 
Iwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.[/QU

Kama ni dola kwa maana ya fedha sawa waendelee kukamata tu, hiyo kila mtu anaweza kukamata, hata wauza unga wanazikamata sana tena kwa wingi. Lakini kama ni dola ile nyingine, utakuwa unaota ndoto ya asubuhi. Utakaopoamka utakuta CCM wakiwa chali, wakilia na kusaga meno.
 
Acha kuropoka na kutoa povu ww,unaposema asilia ya watz wote unamaanisha nn?
nway ngoma bdo mbich ukitaka ichezwe kwa itikad ya vyama utafurah nakwambia hadi Gongo mtatuhalalishia wana haram Nyie

Kama kitu hutumii kinakuwashia nini? Kwa faida yako mwenye shule ya kivukoni ALCOHOL inaimarisha DNA. Najua bado uko patupu.
 
Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn

Duh ccm ni wagumu wa kuelewa yeye alidhani hata watoto wake wanajumuishwa ktk mchakato huu!
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Kweli wewe ni Chuki!
 
Tuliozaliwa baada ya 1964 what does Tanganyika mean to us? Mimi tangu naanza vidudu, namaliza la saba, sekondari, vyuo, na makazini najitambua kuwa mimi ni Mtanzania
 
naomba kuuliza , hivi wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm ?
kama kweli unauliza ili ujue. basi naomba nikujibu.... HAPANA MIMI SIO MTOTO WALA BABA WA KIONGOZI WA CCM.. ila napigania maslahi mapaaaana ya taifa langu. poleni mnaochukuliwa na vimbunga vya wanasiasa. mimi ukiniuliza kwa nini naipigania tanzania ya serikali mbili nina sababu nzito za kutosha ila wewe nikikuuliza kwa nini unataka tanzania ya serikali tatu utaniambia'''''' mbowe/slaa wamesema''''
 
...walishaambiwa wajiande kisaikolojia wakatia pamba kweye masikio..."Kenge hasikii hada atokwe na damu masikioni"...
 
Back
Top Bottom