Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
...nani kakwambia ni 64% ya watanzania wote..? tume imesema ni 64% ya watu waliotoa maoni. ooooh my Tanganyika is back from prison after 49 good years...!!!???
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
Sasa ndo nimeona kazi ya zile Chopper za Chadema maana Warioba alisema hata taasisi za serikali walipendekeza serikali tatu!
Ccm ushawishi wenu uko wapi? Zanzibar asilimia 60 wanataka muungano wa mkataba (agenda ya Cuf) Bara 61% serikali tatu (agenda ya CDM)
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Hakuna jipya mbona tulishawagagadua wakati wa Serikali 3? leteni Serikali hata 4 tutawagagadua tu....basi komaeni na serikali mbili mpaka mwisho muone mnavokula cha mbavu asubuhi na mapema...
Ila sasa,nachokiona ni kwamba suala la katiba lilikua ni ni la mwenyekiti wa ccm peke yake,na yeye ndo anayeenda nalo
Ina maana tunatakiwa kukaa mkao wa kuandika katiba ya TANGANYIKA.
mwanaccm yupi aliyeunga mkono serikali tatu hadharani ukimtoa mansoor ambaye aliishia kuukosa uwakilishi wake????????
Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn
Mkuu hyo ni asilimia ya watanzania wote waliotoa maoni yao.
Utakumbuka Nape alizunguka kuhamasisha watu wasikubali serikali 3
Wakati cdm wakipita na kauli mbiu ya serikali tatu hali iliyopelekea Mwigulu kuipeleka tmu ya Simba kumzuia Slaa jimbon kwake Iramba.
Kutoa maoni kuna kushinda na kushindwa.
Aisee! Huyu atapigwa tu!CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Mzee Warioba
Tatizo ni Kauli ya Viongozi wenu majukwaani ,waziwazi wamesema hawautaki Muungano wa Serikali 3.. Sasa ikiwa Kiongozi wa CCM kasema,tutakuamini vp wewe!? Viongozi wa CDM walitamka waziwazi kua wanahitaji Muungano wa Serikali 3,hivyo hata kama kuna mwana CDM aliupinga,haileti maana kwani watu tunaamini kua Kauli ya Kiongozi ndio Kauli na msimamo wa Chama!
Ni vizuri ikakumbukwa kuwa watanzania waliowanachama wa vyama vya siasa hawazidiasilimia 20.
Hii inajumuisha wanachama wa vyama vyote vya siasa nchini.
Hivyo hiyo 64% haimaanishi kuwa wanasuport chama flani.
Noo.
Acha kuropoka na kutoa povu ww,unaposema asilia ya watz wote unamaanisha nn?
nway ngoma bdo mbich ukitaka ichezwe kwa itikad ya vyama utafurah nakwambia hadi Gongo mtatuhalalishia wana haram Nyie