haijalishi watoa maoni wametoa maoni kutaka nini...
take it from me snitch..... serikali mbili ndio mpango mzima whether you like it or not
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Iwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.[/QU
Kama ni dola kwa maana ya fedha sawa waendelee kukamata tu, hiyo kila mtu anaweza kukamata, hata wauza unga wanazikamata sana tena kwa wingi. Lakini kama ni dola ile nyingine, utakuwa unaota ndoto ya asubuhi. Utakaopoamka utakuta CCM wakiwa chali, wakilia na kusaga meno.
Bila shaka umepotoka ... BTW ni maoni yako.Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine, Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola; labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Acha kuropoka na kutoa povu ww,unaposema asilia ya watz wote unamaanisha nn?
nway ngoma bdo mbich ukitaka ichezwe kwa itikad ya vyama utafurah nakwambia hadi Gongo mtatuhalalishia wana haram Nyie
Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Ndoto za akina SadamuIwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.
kama kweli unauliza ili ujue. basi naomba nikujibu.... HAPANA MIMI SIO MTOTO WALA BABA WA KIONGOZI WA CCM.. ila napigania maslahi mapaaaana ya taifa langu. poleni mnaochukuliwa na vimbunga vya wanasiasa. mimi ukiniuliza kwa nini naipigania tanzania ya serikali mbili nina sababu nzito za kutosha ila wewe nikikuuliza kwa nini unataka tanzania ya serikali tatu utaniambia'''''' mbowe/slaa wamesema''''naomba kuuliza , hivi wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm ?