JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

...hawana idea hao na mawazo yao ya ukomunisti wa 17 century...JKT my azz!

Kama vile Obama alivyokuwa hana idea......eti sasa hivi anasema inflate your tires na ita solve matatizo ya energy.....Mr. Community Organizer has no clue whatsoever!!!
 
Kama vile Obama alivyokuwa hana idea......eti sasa hivi anasema inflate your tires na ita solve matatizo ya energy.....Mr. Community Organizer has no clue whatsoever!!!


...mwingine huyu asiyejua chochote!
 
Hii thread imesaidia kujua who is real senior among JF members, and not just by number of posts! KUDO to all of you who had the privilege to attend!
 
well,it was a good experience,lakini,miezi sita ya mwisho nililimwa sana guard,main gate----Itende JKT- huyu female afande jina nimemsahau,nahisi alikuwa na a hidden agenda.all in all,for someone who was leaving home for the first time,it was worth it.at least nilipata crash course ya kusurvive this cruel world
 
jkt for what?
bora waweke gym katika kila high school, na walifanyesomo la physical fitness la lazima, hapo nitawaelewa, siyo mambo ya kukimbizana kwenye jua kali!
 
Mimi ni mmoja wapo wa aliokosa kupitia JKT...hata hivyo nilibahatika kurekebisha japo kidogo kwa kupitia Sandhurst hapa UK.

Msaada: Admin naomba iweke hii topic kwenye zip folder, nategemea kuja kuitumia siku za mbeleni kuwashauri kijana wangu kuwa mafunzo haya ya kijeshi yana faida zake nyingi tu kuzidi hasara.

Serikali ya UK nayo ipo njia panda, wadu wengi wanaishinikiza ianzishe kitu kama JKT ili vijana wakajifunze adabu huko...Taifa Letu limepata hasara sana (ingawaje ni vigumu kuipima kwa hesabu) kwa kuifuta JKT.

Ukitaka kuona mifano halisi hebu angalia jinsi vijana wa siku hizi wasivyokuwa na desturi ya kujihusisha na shughuli zozote za ukakamavu..wakitoka kazini ni kwenda Bar au Nyumbani kuangalia TV.!!!!
 
Sekondari na JKT ndivyo vilivyonifanya niwe MTANZANIA zaidi.
 
Kuna watu walioenda jeshini na wengine hawakwenda. Kuna stori nyingi za kutoka jeshini. Hivi kulikuwa na sababu gani ya kuwapeleka vijana na kuwalazimisha kujiunga na jeshi na kuwapotezea muda ambao wangeweza kuendelea na masomo ya juu. Naamini kama kuna vitu ambavyo vimepoteza muda sana kwa wananchi ni suala la JKT.

Kulikuwa na mazuri lakini siamini kama Nyerere angefanya hivyo kwani wale vijana wote wangekuwa wanafundishwa mambo ya biashara na sayansi badala ya kusota Mpwapwa, Mafinga, Oljoro, Maramba, Ruvu n.k

Kuna vitu ambavyo namuunga mkono Nyerere lakini hili lilitupotezea muda wa mwaka mzima kusota kwenye mitaro na yare "maafande".

Utapoteza umaarufu wako katika hili. wakati unafikiri jambo hili ulikuwa labda umeshaonja ulabu, vinginevyo mimi binafsi sikutegemea mtu mhimu kama wewe kuwa negative katika swala hilo,
 
Kenya hawakuwa na JKT na wamekuwa nchi nzuri tu, tena iliyoendelea kiuchumi. Muda mrefu ambao wengi wetu tungekuwa tumeshamaliza elimu ya juu tulitakiwa kwenda kuchimba mitaro, mahandaki, kujenga nyumba, kuchoma matofali na wale waliokuwa ruvu watakumbuka mpunga!

Kama ningetaka kujenga nyumba au kulima mashamba ningefanya ya kwangu mwenyewe. Mbona sasa hivi watu hawalazimishwi kwenda JKT lakini bado wana uzalendo? Nadhani ile ilikuwa ni hofu ya vita baridi zaidi kuliko kitu kingine chochote.

You are total wrooooooooooooooooong you need to have new ideas which you are lacking
 
mhhhhh ha ahaha haha haha...hapa najua tutasikia mengi na kudanganywa tutadanganywa najua...haya ongezeni chumvi mtutie wivu!

poleni koba na mwanakijiji, ombeeni msahamaha kujenga heshima yenu
 
Kwa mtazamo wangu JKT kweli ni kupoteza muda na wakati kama si kujifunza wizi, uongo, umalaya na kugombana na maafande.

Umoja na mshikamano katika Tanzania tumefundishwa toka tukiwa mashuleni kwa kupitia somo la siasa kwa wale wazee wenzangu na kwa sasa wanaita jina lingine.

Tanzania ilikuwa inahimiza sana umoja na mshikamano (Pitia katiba ya TANU) na kidogo pia katika katiba ya CCM.
Nyimbo nyingi tulizoimbishwa JKT pia tulikuwa tunaimba mashuleni katika Mchakamchaka nk. Pia katika baadhi ya mikoa tulikuwa na chipukizi, game scouts, Tanu youth league nk.

JKT ni kupoteza muda na wala si lolote zaidi.

pole
kaka yangu au dada yangu
 
jkt can never come back,tanzania has changed a lot,the silent suffering the majority of tanzania are undergoing would make jkt a hotbed for dissent.the institution is no longer feasible under the present climate of man eat man society,the brotherhood of man in tanzania is now a bygone word,hence it would fail to achieve its goals,and worst of all jkt would not even breakeven
 
Nurujamii,

Sisi tulikuwa Mafinga kwa Afande (CO) Mlay. Basi tulikuwa tunazalisha sana mahindi, mboga na kujenga nyumba za jenshi na licha ya baridi ya Mafinga- sikumbuki mda I enjoyed my life ktk nikiwepo JKT!

Basi siku moja tulitoka shamba Idetero kule Saw Hill tumechoka- wakawa wamemwandika CO kwenye magazeti- sasa tulipigwa 'Dril' kali wote- basi tukakubaliana watu watatu wajifanye 'wafaint' watatu- ndo yule CO akaotuonea huruma- ndo tukapona!

Sikuwahi kuona mtu strict kama CO Mlay- na hii imenifundisha uvumivilvu sana wa kupambana ktk maisha!

Actually ile miezi 3 ya mwisho tulinenepa sana na hata nilipofika home- watu hawakuamini kama jeshi kuna mateso!

Well JKT was a good opportunity- a must to Tanzanian youth- those who were not given such opportunity=- they must be missing something!

Je mnakumbuka 'green vest ya kijani?' na ukisema huna 'appetite' basi afande anakuambia azima kwa mwezio?? JKT ilikuwa burudani tupu!

Mimi nyimbo za kizalendo kama 15 au zaidi nazozijua leo hii tulijifunza JKT!

Asante mzalendo halisi mimi nilikuwa operation azimio la Arusha kule Mlale, tukiwa na Afande Mtono
 
Kama vile Obama alivyokuwa hana idea......eti sasa hivi anasema inflate your tires na ita solve matatizo ya energy.....Mr. Community Organizer has no clue whatsoever!!!


Properly inflating your tires increases your fuel efficiency! What’s the problem?
 
Nyie mliopita JKT tuambieni nini mlijifunza huko na mmekitumia kwa manufaa ili kujikwamua na huu umasikini.
Nothing

sasa mbona umewauliza swali, kabla uliowauliza hawajajibu umelijibu mwenyewe!
 
je Watanzania Wenye Asili Ya Asia Sheria Hii Itawahusu...?

Mwkjj sorry hawa wanaitwa watanzania wa asia. Nadhani umekosea ulivyowaita. Maana wanadai wao ni watanzania lakini wanalazimisha tuweke eti asili yao! kwa niniiiiiiii???????????.
Waite watanzania wa asia na hapo watafurahi sana.
 
Sheria zikifuatwa hakuna atakaepata mimba ' ila huko kuhenyeshwa ndio kukaitwa jeshini ,sasa ulitegemea ukale pudini ,huko ni ujeshi jeshi tu harage ,dona na funza ,unamwona hivihivi anaelea na wewe ndio unamega hapo hapo unajifanya kama humwoni kumbe umemwona.
 
NIna imani na Nyereeeeree. Hoyaa Hoyaaa Hoyaaaa!
Nyerere Kweeli KWELI Kweli KWELI kweli kweli kweli Nyerere.

Wadogo zangu jeshini ni kutamu sana. Ni mahala ambapo unakutana na watanzania kutoka kona zote za nchi na ambako hamna mzigo wa masomo, ajira wala biashara. Kazi yenu ni kulitumika taifa, Kuliimba taifa lenu lilivyo zuri, Kuwatukuza viongozi wenu watukufu na kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya utumishi mwema baadaye na hata kwa ajili ya ulinzi wa nchi pale itakapolazimu.
JKT ni mahali pekee ambako kwa mfumo wa elimu ya Tanzania raia atapata elimu ndogo lakini yenye umuhimu sana (ya kumfanya aipende na awe tayari kuitumikia nchi yake popote)

Hili lina ubaya gani jamani? Nawaomba wazalendo wote ambao hawajapita JKT. Siku likitangazwa muwe wa kwanza kujiandikisha.
Mwaka niliokuwa JKT nilikuwa na kuruta 2 wa asili ya kiasia.

Kokolikooooooo. Kokolikoo Jogoo lawika Koooko
haiyaiya Kooko aiya iya.
 
Back
Top Bottom