wanaogopa wakiajiriwa watalazimika kuwapigia saluti!!!Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili swala la ajira kwa hawa vijana
Kuna watu wana ujuzi mkubwa sna
Watu wa science na wengineo lakini mnawaachiwa wanarudi mtaani
Ni ombi langu muangalie hili swala baadae litakuwa ni bomu
Kwan kuna nn?Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili swala la ajira kwa hawa vijana
Kuna watu wana ujuzi mkubwa sna
Watu wa science na wengineo lakini mnawaachiwa wanarudi mtaani
Ni ombi langu muangalie hili swala baadae litakuwa ni bomu
Ila form four na six wanaajiri sio?Si alisema wazi wazi kuwa jeshi haliajiri
Aiseee yabid mtu aishie form four tu kwa kweliIvi kwanini watu wanasoma mbaka degree uko watu ni wengi sana alafu awana ajira na zikitoka ni chache
Unakuta vijana hasa waliotoka kwa wazazi masikini wanarandaranda tu hawana pakwenda
Kwanini watu mnaendelea kusoma tu au amsomi nyakati
Kwa kiasi fulani uko sahihi. Lakini ukizingatia kwamba mtu mwenye degree huyo tayari ni professional. Ana ujuzi tayari ila tu kakosa nafasi mahali pa kuajiriwa kwa Utaalam wake. Kwa mantiki hiyo siku isiyo na jina ataondoka kwenda kwenye kazi aliyosomea. Wale wa kidato cha 4 na 6 ni watu walio huru - wanaweza kuelekea kokote e.g. kwenda chuo au kujikalia mtaani na hawatalalamika kuhusu ajira kwani hawana Ujuzi waliosomea. Kwa mantiki hiyo hao wanakuwa Loyal kwenye jeshi na hawasumbui kwenye Trainings. Ni sawa na kusema hao ni "unsigned cheque"wanasema wasomi wa juu muda mwingi hutumia kwenda kujiendeleza kimasomo sasa shida ukiwaweka wengi huko maofisini na makambini watabaki kina nani..?
mpaka wenyewe wameamua kufanya hivyo nafikiri wameshaona kuwa ni tatizo.. ngumu kwa mwenye degree kumkalisha lindo atataka tu akasome apande cheo hiyo ndio tabu!
Sababu ni hiyo kweli??Kwa kiasi fulani uko sahihi. Lakini ukizingatia kwamba mtu mwenye degree huyo tayari ni professional. Ana ujuzi tayari ila tu kakosa nafasi mahali pa kuajiriwa kwa Utaalam wake. Kwa mantiki hiyo siku isiyo na jina ataondoka kwenda kwenye kazi aliyosomea. Wale wa kidato cha 4 na 6 ni watu walio huru - wanaweza kuelekea kokote e.g. kwenda chuo au kujikalia mtaani na hawatalalamika kuhusu ajira kwani hawana Ujuzi waliosomea. Kwa mantiki hiyo hao wanakuwa Loyal kwenye jeshi na hawasumbui kwenye Trainings. Ni sawa na kusema hao ni "unsigned cheque"
Tukichukua wasomi wataleta ujuaji tunapotoa maagizo, mtu ataomba maji watampa lkn vichwa mchunga wanakunyima maji mchna kweupeeeKwa kiasi fulani uko sahihi. Lakini ukizingatia kwamba mtu mwenye degree huyo tayari ni professional. Ana ujuzi tayari ila tu kakosa nafasi mahali pa kuajiriwa kwa Utaalam wake. Kwa mantiki hiyo siku isiyo na jina ataondoka kwenda kwenye kazi aliyosomea. Wale wa kidato cha 4 na 6 ni watu walio huru - wanaweza kuelekea kokote e.g. kwenda chuo au kujikalia mtaani na hawatalalamika kuhusu ajira kwani hawana Ujuzi waliosomea. Kwa mantiki hiyo hao wanakuwa Loyal kwenye jeshi na hawasumbui kwenye Trainings. Ni sawa na kusema hao ni "unsigned cheque"
Tatizo ni mfumoIvi kwanini watu wanasoma mbaka degree uko watu ni wengi sana alafu awana ajira na zikitoka ni chache
Unakuta vijana hasa waliotoka kwa wazazi masikini wanarandaranda tu hawana pakwenda
Kwanini watu mnaendelea kusoma tu au amsomi nyakati
Ajira ni kesi ya survival of the fittest! Pyramidal schemeIvi kwanini watu wanasoma mbaka degree uko watu ni wengi sana alafu awana ajira na zikitoka ni chache
Unakuta vijana hasa waliotoka kwa wazazi masikini wanarandaranda tu hawana pakwenda
Kwanini watu mnaendelea kusoma tu au amsomi nyakati
Serikali ifanye mapinduzi ya mfumo wa elimu na sio kudanganya watu na viajira viwiliTatizo ni mfumo
Pia tatizo letu kubwa ni kutokukubaliana na ukweli.
Ni ukweli kwamba yatupasa tubadilike tuishi kulingana wakati tulionao sasa.
Mfumo wa elimu hii ni wakitumwa
Unatuandaa tujekuwa watumwa watiifu.
Mtumwa mtiifu ataendelea kupeleka watoto shule kama vile ambavyo slave masters wanatak
Sio ada tu apo Kuna mda, unamaliza tu unahitaji uwe na familia uku Huna ajiraAiseee yabid mtu aishie form four tu kwa kweli
Maana hizo ada ni mtaji
Nanukuu:Tatizo ni mfumo
Pia tatizo letu kubwa ni kutokukubaliana na ukweli.
Ni ukweli kwamba yatupasa tubadilike tuishi kulingana wakati tulionao sasa.
Mfumo wa elimu hii ni wakitumwa
Unatuandaa tujekuwa watumwa watiifu.
Mtumwa mtiifu ataendelea kupeleka watoto shule kama vile ambavyo slave masters wanataka
Ndio, japo kwa maelekezoIla form four na six wanaajiri sio?
Serikali ifanye mapinduzi ya mfumo wa elimu na sio kudanganya watu na viajira viwili
[/QUOTE
Ni ngumu sana kwa sirikali kubadilisha mfumo wa elimu
Mfumo huu ndio unawafavor wao!
Me nadhani kuna nguvu zinaoperate sambamba na sirikali nazenyewe zina mchango mmkubwa sana katika haya madudu tunayoyaona.
Tena nguvu yake ni kubwa sana kuliko hata sirikali
Karibu mkuu; - ongeza unachokijua au toa hoja iliyo tofauti na hiyo iliyotolewa.Sababu ni hiyo kweli??