Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili swala la ajira kwa hawa vijana
Kuna watu wana ujuzi mkubwa sna
Watu wa science na wengineo lakini mnawaachiwa wanarudi mtaani
Ni ombi langu muangalie hili swala baadae litakuwa ni bomu