Shida itakua je mimi, wakati wazawa kila sekita tunafeli? Hata zile zisio za biashara ni shida pia kwanini sisi tumelaaniwa, neenda BOT au TRA utafute kazi hata uwe na PhD ya mambo ya fedha mpaka uwe na god father, kukupa connection.Na unafikiri kuwa wawekezaji ndiyo suluhisho? Nakuhakikishia shida ni wewe!
Kama una ushahidi unaweza kuutoa hapa maana hata maafande huwa wanapitia ila isiwe niliambiwa na mwanangu naye aliambiwa na mtu mwingine. Hapo ndo umbea unapoanzia.Mbona wengine wanapokelewa selectively ndo jeshi lilivyo? Kuna kujuana?
Sahihi kabisa.Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.
Vijana Kama hawajapokelewa kwa uzembe warudi Nyumbani
Mwambie arudi nyumbani haraka, huko hizo siku anazopoteza bora umlipie ada akasome VETA itamsaidia
Nalia ngwena na ngwena nalia ngwena,Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.
Vijana Kama hawajapokelewa kwa uzembe warudi Nyumbani
Siku zote hakuna cha bure na binadamu usikubali kufeli kamwe. Tatizo ni uongozi wetu ndiyo umefeli na hauna tena mawazo hivyop kudhani kuwa kuna wasamaria wa kuja kutujengea nchi yetu. Tukisema wawekezaji watatukomboa ni uongo na zaidi niseme wawekezaji watatuweka kwenye hali mbaya zaidi. Tutabaki wapagazi kwenye nchi yetu. Tatizo kubwa la Tanzania ni wananchi kulala usingizi wa pono na kutotaka kuwawajibisha viongozi wetu.Shida itakua je mimi, wakati wazawa kila sekita tunafeli? Hata zile zisio za biashara ni shida pia kwanini sisi tumelaaniwa, neenda BOT au TRA utafute kazi hata uwe na PhD ya mambo ya fedha mpaka uwe na god father, kukupa connection.
Mbona hapo umetoa majibu mwenyewe kwamba tatizo ni viongozi na wananchi, kwahiyo tusitegemee chochote kutoka kwao. Jamii ya watu walio jaa wizi uongo, utapeli ubaguzi, ukiritimba,uvivu, usiitegemea kupiga hatua kabisa hi nchi ya Tanzania elisha laaniwa na watu wake, bora tupate watu safi kutuvusha.Siku zote hakuna cha bure na binadamu usikubali kufeli kamwe. Tatizo ni uongozi wetu ndiyo umefeli na hauna tena mawazo hivyop kudhani kuwa kuna wasamaria wa kuja kutujengea nchi yetu. Tukisema wawekezaji watatukomboa ni uongo na zaidi niseme wawekezaji watatuweka kwenye hali mbaya zaidi. Tutabaki wapagazi kwenye nchi yetu. Tatizo kubwa la Tanzania ni wananchi kulala usingizi wa pono na kutotaka kuwawajibisha viongozi wetu.
NA nikasema kama tatizo ni hilo basi huwezi kuliondoa kwa kukodi watu i.e. wawekezaji. Tatizo linaondoka kwa kulishughulikia na siyo kulikimbia! Tuko pamoja?Mbona hapo umetoa majibu mwenyewe kwamba tatizo ni viongozi na wananchi, kwahiyo tusitegemee chochote kutoka kwao. Jamii ya watu walio jaa wizi uongo, utapeli ubaguzi, ukiritimba,uvivu, usiitegemea kupiga hatua kabisa hi nchi ya Tanzania elisha laaniwa na watu wake, bora tupate watu safi kutuvusha.