- Thread starter
- #101
Shida itakua je mimi, wakati wazawa kila sekita tunafeli? Hata zile zisio za biashara ni shida pia kwanini sisi tumelaaniwa, neenda BOT au TRA utafute kazi hata uwe na PhD ya mambo ya fedha mpaka uwe na god father, kukupa connection.Na unafikiri kuwa wawekezaji ndiyo suluhisho? Nakuhakikishia shida ni wewe!