JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

Na unafikiri kuwa wawekezaji ndiyo suluhisho? Nakuhakikishia shida ni wewe!
Shida itakua je mimi, wakati wazawa kila sekita tunafeli? Hata zile zisio za biashara ni shida pia kwanini sisi tumelaaniwa, neenda BOT au TRA utafute kazi hata uwe na PhD ya mambo ya fedha mpaka uwe na god father, kukupa connection.
 
Mbona wengine wanapokelewa selectively ndo jeshi lilivyo? Kuna kujuana?
Kama una ushahidi unaweza kuutoa hapa maana hata maafande huwa wanapitia ila isiwe niliambiwa na mwanangu naye aliambiwa na mtu mwingine. Hapo ndo umbea unapoanzia.
 
mwambie arudi tuu huko hakuna umuhimu wowote zaidi ya mateso na udhalilishaji wanaofanyiwa jinsia ke,remember everything happen for a reason
 
Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.

Vijana Kama hawajapokelewa kwa uzembe warudi Nyumbani
Sahihi kabisa.
 
Mwambie arudi nyumbani haraka, huko hizo siku anazopoteza bora umlipie ada akasome VETA itamsaidia

Naunga mkono idea ya VETA japo ni muhimu kutii sheria.
Kwa maisha yanavyokwenda likizo yeyote mtoto aende VETA tu akajifunze hata kutengeneza simu
 
Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.

Vijana Kama hawajapokelewa kwa uzembe warudi Nyumbani
Nalia ngwena na ngwena nalia ngwena,
Nalia ngwena na ngwena nalia ngwena.

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Shida itakua je mimi, wakati wazawa kila sekita tunafeli? Hata zile zisio za biashara ni shida pia kwanini sisi tumelaaniwa, neenda BOT au TRA utafute kazi hata uwe na PhD ya mambo ya fedha mpaka uwe na god father, kukupa connection.
Siku zote hakuna cha bure na binadamu usikubali kufeli kamwe. Tatizo ni uongozi wetu ndiyo umefeli na hauna tena mawazo hivyop kudhani kuwa kuna wasamaria wa kuja kutujengea nchi yetu. Tukisema wawekezaji watatukomboa ni uongo na zaidi niseme wawekezaji watatuweka kwenye hali mbaya zaidi. Tutabaki wapagazi kwenye nchi yetu. Tatizo kubwa la Tanzania ni wananchi kulala usingizi wa pono na kutotaka kuwawajibisha viongozi wetu.
 
Mbona hapo umetoa majibu mwenyewe kwamba tatizo ni viongozi na wananchi, kwahiyo tusitegemee chochote kutoka kwao. Jamii ya watu walio jaa wizi uongo, utapeli ubaguzi, ukiritimba,uvivu, usiitegemea kupiga hatua kabisa hi nchi ya Tanzania elisha laaniwa na watu wake, bora tupate watu safi kutuvusha.
 
NA nikasema kama tatizo ni hilo basi huwezi kuliondoa kwa kukodi watu i.e. wawekezaji. Tatizo linaondoka kwa kulishughulikia na siyo kulikimbia! Tuko pamoja?
 
Back
Top Bottom