JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

3. Pesa ya Rambirambi kwa ajili ya nani? Au in advance? Ndo maana naona bora hata Jeshi wapewe DIPU WORLD tu. Hawa wakija hayo mambo yote hayatakuwepo.
 
Sasa hii pesa ya rambirambi ya nn mkuu? Kwamba ndan ya mafunzo lazma afe.mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mkuu na mie nimeshangaa sana wakati hawa wala hawaendi kwenye mafunzo ya MM porini tuliyokuwa tukienda wiki tatu mkichimba mahandaki kwenye ardhi kame iliyojaa vikokoto huku ukitumia vidole mpaka uzame urefu wako wote!!! Inashangaza sana kwa kweli
 
Watanzania tuache lawama zisizo na msingi. Kwani siku zote mlikuwa wapi? Kama ulijua safari inatumia siku nne, ulishindwa kupiga hesabu usivuke hiyo deadline?

sasa kwa nijuavyo hiyo kambi huwa inachukua wanafunzi wagonjwa, walemavu na wenye shida mbalimbali. Sasa kwa sababu ya treatment ya pale wanafunzi wengi hukimbilia pale na kujifanya wagonjwa ili kuwa treated kama mgonjwa na kukimbia mazoezi ya kawaida kwenye kambi nyingine. Kwa hiyo sio ajabu hiyo kambi kujaa.
 
Sasa kwanini wanapagiwa watu na wanashinda kuwapokea nafasi zao zinaenda wapi, hiyo ndo rushwa ndo maana waarabu wstakuja kutuendeshea kila cha kwetu kwabb wenyewe wana maadili kuliko sisi.
 
Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?

Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.

Vijana Kama hawajapokelewa kwa uzembe warudi Nyumbani
 
Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?

Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Wazazi na wanafunzi wamekuwa confused na uuzwaji wa bandari yao.
Pia cheti cha JKT huwa hakuliulizi wakati wa kuingia chuo kikuu.
 
Sasa kwanini wanapagiwa watu na wanashinda kuwapokea nafasi zao zinaenda wapi, hiyo ndo rushwa ndo maana waarabu wstakuja kutuendeshea kila cha kwetu kwabb wenyewe wana maadili kuliko sisi.

ndio maana nakwambia hiyo kambi ni ya wagonjwa, wengi wanaoenda kuripoti hapo hawajapangiwa hapo. Ukijumlisha na wanaoforge ugonjwa, lazima wajae. Kwa kifupi hiyo kambi ndiyo kambi ya bata kuliko kambi zote ndio maana wanafunzi wengi wanakimbilia so lazima ijae.

kambi nyingine hata ukichelewa , unaingia kwa sababu nafasi zipo.
na zaidi unaweza kuingia kambi iliyo jirani nawe hata kama hujapangiwa hapo.
 
Peleke mtoto VETA akapige hata course ya mwezi mmoja udereva utakuja nishukuru pindi atakapo maliza chuo atakuwa tayari anapo pakuanzia maana leseni ipo anaweza kuwa bodaboda , au hata dereva bajaji sasa nikuulize hivi lile cheti la jkt la mujibu wa sheria litamsaadia nini mwanao ??...
 
Nchi iliondoka na Nyerere hawa wrngine wababaishaji tu.
 
Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?

Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Ruvu pale wanapokeaga kuruta wengi sana kila mujibu anakumbilia pale kwahio wanawahi kujaa haraka waende kambi nyingine naamini watapokelewa
 
Kama vipi kwa hasira na kambi zote za jeshi nchini ziongozwe tu na waarabu [emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waarabu wanawekeza kwenye masirahi sio kazi za kujitolea kama eti jkt, viwanja wanaishiwa kua walinzi kwenye mikutano na supermarket
 
Yaan unalilia Kijana wako akapoteze muda huko? Uzalendo gani mnazungumzia hapa? Hii nchi aisee wacha ninyamaze
 
Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?

Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Na unafikiri kuwa wawekezaji ndiyo suluhisho? Nakuhakikishia shida ni wewe!
 
Back
Top Bottom