Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
3. Pesa ya Rambirambi kwa ajili ya nani? Au in advance? Ndo maana naona bora hata Jeshi wapewe DIPU WORLD tu. Hawa wakija hayo mambo yote hayatakuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuu na mie nimeshangaa sana wakati hawa wala hawaendi kwenye mafunzo ya MM porini tuliyokuwa tukienda wiki tatu mkichimba mahandaki kwenye ardhi kame iliyojaa vikokoto huku ukitumia vidole mpaka uzame urefu wako wote!!! Inashangaza sana kwa kweliSasa hii pesa ya rambirambi ya nn mkuu? Kwamba ndan ya mafunzo lazma afe.mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini wanapagiwa watu na wanashinda kuwapokea nafasi zao zinaenda wapi, hiyo ndo rushwa ndo maana waarabu wstakuja kutuendeshea kila cha kwetu kwabb wenyewe wana maadili kuliko sisi.Watanzania tuache lawama zisizo na msingi. Kwani siku zote mlikuwa wapi? Kama ulijua safari inatumia siku nne, ulishindwa kupiga hesabu usivuke hiyo deadline?
sasa kwa nijuavyo hiyo kambi huwa inachukua wanafunzi wagonjwa, walemavu na wenye shida mbalimbali. Sasa kwa sababu ya treatment ya pale wanafunzi wengi hukimbilia pale na kujifanya wagonjwa ili kuwa treated kama mgonjwa na kukimbia mazoezi ya kawaida kwenye kambi nyingine. Kwa hiyo sio ajabu hiyo kambi kujaa.
Acha kuzungumza kishabiki nafasi za mujibu wa sheria haziuzwi Kama unavyofikilia halafu jeshi halipangiwi/ kupelekeshwa Kama wewe unavyokuja kupiga kelele hapa.Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Wazazi na wanafunzi wamekuwa confused na uuzwaji wa bandari yao.Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Nlikua naitafuta hii comment nimeionahapo ndo mafunzo yameanza tayari
Sasa kwanini wanapagiwa watu na wanashinda kuwapokea nafasi zao zinaenda wapi, hiyo ndo rushwa ndo maana waarabu wstakuja kutuendeshea kila cha kwetu kwabb wenyewe wana maadili kuliko sisi.
Mnatoa amri utafikiri mmewalipia nauli.Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Wajinga wale ndo maana hi nchi itaendeshwa na waarabu.Umeongea kwa uchungu sana mkuu, kulikoni? [emoji4]
Kama vipi kwa hasira na kambi zote za jeshi nchini ziongozwe tu na waarabu [emoji4]Wajinga wale ndo maana hi nchi itaendeshwa na waarabu.
Ruvu pale wanapokeaga kuruta wengi sana kila mujibu anakumbilia pale kwahio wanawahi kujaa haraka waende kambi nyingine naamini watapokelewaInakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waarabu wanawekeza kwenye masirahi sio kazi za kujitolea kama eti jkt, viwanja wanaishiwa kua walinzi kwenye mikutano na supermarketKama vipi kwa hasira na kambi zote za jeshi nchini ziongozwe tu na waarabu [emoji4]
Na unafikiri kuwa wawekezaji ndiyo suluhisho? Nakuhakikishia shida ni wewe!Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?