Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
KDF hawapewi kazi kama hizi bro....hata sie tuna shirika liitwalo NYS...ndio kama JTK ya Kenya....na kama NYS wangepewa kazi ya kujenga ukuta wangeifanya tu ila kwa sasa wanafanya kazi za aina nyingi...Nikwasababu waliopewa kazi iyo ni jeshi la kujenga taifa (JKT )So kwa vile nyie ni watani ndio alitaka challenge nyie kama kdf ikipewa kazi kama Iyo wanaweza kuikamilisha kabla ya wakati uliopangwa...
Nadhan itakua iyo nys sikua naifaham kabla...btw mi sijaona kitu badKDF hawapewi kazi kama hizi bro....hata sie tuna shirika liitwalo NYS...ndio kama JTK ya Kenya....na kama NYS wangepewa kazi ya kujenga ukuta wangeifanya tu ila kwa sasa wanafanya kazi za aina nyingi...
duh!!, buda samahani sana. sikujua kama thread hii ingefanya "utete" namna hiyo. samahani buda. sitorudia tena.lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?
sawa basi ila next time jamaa akileta habari kama hizi tuko tayari tu kumwaibisha...mfano jamaa alishapotelea mbali anatamani ardhi ifunguke immeze...jamaa ka regret kufungua uzi huu...Nadhan itakua iyo nys sikua naifaham kabla...btw mi sijaona kitu bad
Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitweWewe ni Mtanzania na kama ni Mkenya basi ni Mkenya mjinga tu.
hahaha kadoda you are one of a kind...I forgive you😀😀😀...duh!!, buda samahani sana. sikujua kama thread hii ingefanya "utete" namna hiyo. samahani buda. sitorudia tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitwe
Nyangau wewe..we jamaa wacha ushamba...ni nani aliyekudanganya ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe na simiti??😀😀😀😀kuna ukuta hata wa glass, ukuta wa steel au mbao...punguza ushamba tafadhali 😀😀😀 ubaya wako ukiskia ukuta kinachokujia akilini ni ukuta uliojengwa kwa mawe na simiti..hahahaha...its not like that bro
ukiona wanaiita wall katika habari usidhani ni maridadi tu
Kenya has commenced the construction of the security wall along the Kenya-Somalia border. The wall is being constructed to check cross-border incursions by ...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]hahaha kadoda you are one of a kind...I forgive you😀😀😀...
nenda tu upige search google uandike wall...utapata kuna aina mbali mbali za wall...kuna sleeper walls, kuna security wall...kuna glass walls...na kadhalikahuo ni ukuta wa nini kati ya hayo uliyoandika? Than is that a security wall or security fence.
Wenzenu ndani wanajenga tena concrete..nyie ile fence yenu ata ng'ombe tu haiwezi wazuia..ije kuwa Alshababu wenye RPGnenda tu upige search google uandike wall...utapata kuna aina mbali mbali za wall...kuna sleeper walls, kuna security wall...kuna glass walls...na kadhalika
mfano kuna wall wanayoijenga UK na si ya mawe na simiti ila wanaiita ukuta tu...wall yenyewe ndio hii...cha muhiu ukiskia nno wall usifikiri tu wall iliojengwa hapo kwenu kuzuia wakora
Britain is building a security wall to stop migrants from Calais
wall yenyewe ina lengo maalum kama vile ku slow down magaidi ama immigrants....itakuwa na CCTV cameras so hata kama magaidi wanaweza kuilipua tu nakupita tayari KDF watakuwa njiani sababu CCTV imewakamata wakitayarisha mabomu yao...usidhani ukuta lengo lake ni kuzuia tu mtu kupita...lengo la ukuta huu ni kusaka intelligence na ku spy kule Somalia...sasa nakuomba uwe unafanya research kabla ya kutusi mtu...usije ukajiabisha tena jinsi ulivojiabisha hapa kwa kusema ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe tu...Wenzenu ndani wanajenga tena concrete..nyie ile fence yenu ata ng'ombe tu haiwezi wazuia..ije kuwa Alshababu wenye RPG
Okay. Wewe ni Mkenya na una freedom of expression. Ni haki yako kujieleza utakavyo.Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitwe
Naona unazidi kupotea..na inaonekana hujui tofauti kati ya fence na wallwall yenyewe ina lengo maalum kama vile ku slow down magaidi ama immigrants....itakuwa na CCTV cameras so hata kama magaidi wanaweza kuilipua tu nakupita tayari KDF watakuwa njiani sababu CCTV imewakamata wakitayarisha mabomu yao...usidhani ukuta lengo lake ni kuzuia tu mtu kupita...lengo la ukuta huu ni kusaka intelligence na ku spy kule Somalia...sasa nakuomba uwe unafanya research kabla ya kutusi mtu...usije ukajiabisha tena jinsi ulivojiabisha hapa kwa kusema ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe tu...
nimemaliza mimi tafta wa kukuelewesha zaidiNaona unazidi kupotea..na inaonekana hujui tofauti kati ya fence na wall
Pole sana.nimemaliza mimi tafta wa kukuelewesha zaidi
unafaa kuwa unajiambia wewe pole...elimu yako pengine ni ndogo sanaPole sana.