JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Nikwasababu waliopewa kazi iyo ni jeshi la kujenga taifa (JKT )So kwa vile nyie ni watani ndio alitaka challenge nyie kama kdf ikipewa kazi kama Iyo wanaweza kuikamilisha kabla ya wakati uliopangwa...
KDF hawapewi kazi kama hizi bro....hata sie tuna shirika liitwalo NYS...ndio kama JTK ya Kenya....na kama NYS wangepewa kazi ya kujenga ukuta wangeifanya tu ila kwa sasa wanafanya kazi za aina nyingi...
 
Nadhan itakua iyo nys sikua naifaham kabla...btw mi sijaona kitu bad
 
lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?
duh!!, buda samahani sana. sikujua kama thread hii ingefanya "utete" namna hiyo. samahani buda. sitorudia tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhan itakua iyo nys sikua naifaham kabla...btw mi sijaona kitu bad
sawa basi ila next time jamaa akileta habari kama hizi tuko tayari tu kumwaibisha...mfano jamaa alishapotelea mbali anatamani ardhi ifunguke immeze...jamaa ka regret kufungua uzi huu...
 
duh!!, buda samahani sana. sikujua kama thread hii ingefanya "utete" namna hiyo. samahani buda. sitorudia tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha kadoda you are one of a kind...I forgive you😀😀😀...
 
Boss kwanini unaumwa? ukohapa umeandikwa kazi na itumbi 527/- kumwaga uongo tupu. Eeh mimi ni mkenya na kwetu ni muranga. Ama unataka niongee greek? Mūguthicwo ni thirikari ino yanyu mugìkuyu nginya mugie mitwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
we jamaa wacha ushamba...ni nani aliyekudanganya ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe na simiti??😀😀😀😀kuna ukuta hata wa glass, ukuta wa steel au mbao...punguza ushamba tafadhali 😀😀😀 ubaya wako ukiskia ukuta kinachokujia akilini ni ukuta uliojengwa kwa mawe na simiti..hahahaha...its not like that bro

ukiona wanaiita wall katika habari usidhani ni maridadi tu
Kenya has commenced the construction of the security wall along the Kenya-Somalia border. The wall is being constructed to check cross-border incursions by ...
Nyangau wewe..
huo ni ukuta wa nini kati ya hayo uliyoandika? Than is that a security wall or security fence.
Screenshot_20180217_162619.png

Screenshot_20180217_162619.png
Screenshot_20180217_162632.png

Kati ya hivi nyie mmeweza fanya kipi?
Tatizo mnapenda kujilinganisha na Tanzania ya zamani..Tanzania ya sasa hivi hamuiwezi.
 
Wewe ni Mtanzania na kama ni Mkenya basi ni Mkenya mjinga tu.
umecatch mafeelings msee...hivi unategemea kila mkenya wa jf lazima mawazo yake yawe sawa na wakenya wengine.

acheni mtu a- express opinion zake vile anavyojisikia.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
hahaha kadoda you are one of a kind...I forgive you😀😀😀...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
huo ni ukuta wa nini kati ya hayo uliyoandika? Than is that a security wall or security fence.
nenda tu upige search google uandike wall...utapata kuna aina mbali mbali za wall...kuna sleeper walls, kuna security wall...kuna glass walls...na kadhalika
mfano kuna wall wanayoijenga UK na si ya mawe na simiti ila wanaiita ukuta tu...wall yenyewe ndio hii...cha muhimu, ukiskia neno wall usifikiri tu ni wall iliojengwa hapo kwenu kuzuia wakora
Britain is building a security wall to stop migrants from Calais
2016-09-07T161329Z_1_LYNXNPEC86152_RTROPTP_4_EUROPE-MIGRANTS-CALAIS-630x420.jpg
 
nenda tu upige search google uandike wall...utapata kuna aina mbali mbali za wall...kuna sleeper walls, kuna security wall...kuna glass walls...na kadhalika
mfano kuna wall wanayoijenga UK na si ya mawe na simiti ila wanaiita ukuta tu...wall yenyewe ndio hii...cha muhiu ukiskia nno wall usifikiri tu wall iliojengwa hapo kwenu kuzuia wakora
Britain is building a security wall to stop migrants from Calais
2016-09-07T161329Z_1_LYNXNPEC86152_RTROPTP_4_EUROPE-MIGRANTS-CALAIS-630x420.jpg
Wenzenu ndani wanajenga tena concrete..nyie ile fence yenu ata ng'ombe tu haiwezi wazuia..ije kuwa Alshababu wenye RPG
 
Wenzenu ndani wanajenga tena concrete..nyie ile fence yenu ata ng'ombe tu haiwezi wazuia..ije kuwa Alshababu wenye RPG
wall yenyewe ina lengo maalum kama vile ku slow down magaidi ama immigrants....itakuwa na CCTV cameras so hata kama magaidi wanaweza kuilipua tu nakupita tayari KDF watakuwa njiani sababu CCTV imewakamata wakitayarisha mabomu yao...usidhani ukuta lengo lake ni kuzuia tu mtu kupita...lengo la ukuta huu ni kusaka intelligence na ku spy kule Somalia...sasa nakuomba uwe unafanya research kabla ya kutusi mtu...usije ukajiabisha tena jinsi ulivojiabisha hapa kwa kusema ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe tu...
 
Naona unazidi kupotea..na inaonekana hujui tofauti kati ya fence na wall
 
Okay. Wewe ni Mkenya na una freedom of expression. Ni haki yako kujieleza utakavyo.
umekubali kuwa huyo ni mkenya.asate sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Pole sana.
unafaa kuwa unajiambia wewe pole...elimu yako pengine ni ndogo sana
nakuacha na definition ya wall toka wekipedia

wall
a thing regarded as a protective or restrictive barrier.
 
Back
Top Bottom