JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Mradi mzuri wa Nyang'au kupigwa tena hehehe ,tofautisha ukuta usionafaida yyte na ukuta wakuzuia mali ni mbingu na ardhi
ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...
 
mkikuyu akili timamu,
asante sana kwa comment yako. ila tegemea matusi na kashfa toka kwa blind patriot wa kikenya wa hapa jf.

sitoshangaa wakisema wewe si mkenya.
Matusi tumeyazoea. Wacha nikwambie ukweli, kabila litalotoa Jubilee mamlakani ni wakikuyu, hata wao wamechoka na kutapeliwa na uhuru. Nampogeza Mhe JPM kwa kuwabana mabwenyenye wa kenya ili wasipate soko TZ ili mradi wafilisike
 
ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...
Siwez sherehekea ukuta, daraja yes..
Lengo la ukuta huo na huo wenu ndio sijaelewa labda unieleweshe,huo wa kuzuia wizi wamadini ya tanzanite vp huo wenu unatija gani
 
Ww ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
Ugaidi wenyewe unawamaliza kdf kama bata,fuatilieni wale wahuni wa kibiti Polisi wa tz nini iliwafanya na Tpdf haikuingia sasa Leo wametawanyikia msumbiji na kwenu huko kuwasumbua maana ni jamii hiyo hiyo,kdf ni dhaifu katika majeshi yaliyowahi patikana karne hii ya 21 bado mna safari ndefu.
 
ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...
So what do you want to celebrate in kenya army? Their constant contribution to HIV/AIDS in areas near their baracks like Nakuru? or Killing their girfriends like in kahawa baracks area?
 
Siwez sherehekea ukuta, daraja yes..
Lengo la ukuta huo na huo wenu ndio sijaelewa labda unieleweshe,huo wa kuzuia wizi wamadini ya tanzanite vp huo wenu unatija gani
to control illegal immigration and infiltration of terrorists from Somalia...whats hard to understand?
 
So what do you want to celebrate in kenya army? Their constant contribution to HIV/AIDS in areas near their baracks like Nakuru? or Killing their girfriends like in kahawa baracks area?
kile unafaa kuelewa ni kuwa Kenya ukuta sio kipimo cha maendeleo....kazi inafanywa bila kupiga piga mayowe....ukuta ni ukuta tu....akili za kiafrika (third world mentality) mwache kabisa....
 
to control illegal immigration and infiltration of terrorists from Somalia...whats hard to understand?
Mkimaliza kujenga ndio tutapata majibu kama umesaidia au laa ,Hao wasomali sio watu wakawaida
 
Mada kama hizi ndo huwa zinaonesha wazi tofauti kati ya mkenya na mtz ni ipi. Yaani tutazidi kupaa tu! Tutaacha wengine wakizinguliwa na ukuta! Najua hii leo lazima iwe Breaking News kwenye Tv. za Tz! Hahaha 😀😀😀 Hii ni zaidi ya Ze Comedy Show!
 
ndio....kwa sasa haijulikani kama ukuta utatimiza lengo lake ama utalipuliwa na wakora wa somali...ila point yangu ilikuwa ni kutosherehekea vitu vidogo vidogo kama ukuta...tuwe na akili za maendeleo jamani
 
hahahaha breaking news kisa ukuta....duh!! maajabu haya...ukuta wa kwanza duniani sio?
 
ndio....kwa sasa haijulikani kama ukuta utatimiza lengo lake ama utalipuliwa na wakora wa somali...ila point yangu ilikuwa ni kutosherehekea vitu vidogo vidogo kama ukuta...tuwe na akili za maendeleo jamani
Mtoa mada alisema muda waliopewa kufanya kazi iyo na ufanisi mpaka kuikamilisha ndio kilichomvutia...sidhn kama kuna mtu anaweza sherehekea ukuta
 
lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?
 
So according to you Nyangau thats a wall?
we jamaa wacha ushamba...ni nani aliyekudanganya ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe na simiti??😀😀😀😀kuna ukuta hata wa glass, ukuta wa steel au mbao...punguza ushamba tafadhali 😀😀😀 ubaya wako ukiskia ukuta kinachokujia akilini ni ukuta uliojengwa kwa mawe na simiti..hahahaha...its not like that bro

ukiona wanaiita wall katika habari usidhani ni maridadi tu
Kenya has commenced the construction of the security wall along the Kenya-Somalia border. The wall is being constructed to check cross-border incursions by ...
 
lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?
Nikwasababu waliopewa kazi iyo ni jeshi la kujenga taifa (JKT )So kwa vile nyie ni watani ndio alitaka challenge nyie kama kdf ikipewa kazi kama Iyo wanaweza kuikamilisha kabla ya wakati uliopangwa...
 
Ungekua unafafanua ni kwanini ukuta kujengwa huko kwa tanzanite badala ya heka heka mingi! Unavyojua hakuna Mkenya huchimba hiyo tanzanite yenu,ni nyinyi wenywe na kuuzia Wakenya na Wahindi. Makosa iko wapi ikiwa Kenya na India ndio world's largest tanzanite exporters and sellers yet tanzanite is only found in one place in the world-Mirerani,Tz! Digest that then tell me who's the smart one!! 😀😀😀
unalialia nini mugger.
zama za kenya na india kuwa largest exporter wa tanzanite zishafika kikomo.

from now on, the main tanzanite exporter is going to be tanzania.hakuna tanzanite itakayotoka nje ya mipaka ya tz kienyeji.
poleni sana wasee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom