Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
what is a wall? ukuta brathe mbona unafikiria kana kwamba una akili za kima?huo ni ukuta? Ukijibu hapo nitajua if you have sense or na.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what is a wall? ukuta brathe mbona unafikiria kana kwamba una akili za kima?huo ni ukuta? Ukijibu hapo nitajua if you have sense or na.
ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...Mradi mzuri wa Nyang'au kupigwa tena hehehe ,tofautisha ukuta usionafaida yyte na ukuta wakuzuia mali ni mbingu na ardhi
Matusi tumeyazoea. Wacha nikwambie ukweli, kabila litalotoa Jubilee mamlakani ni wakikuyu, hata wao wamechoka na kutapeliwa na uhuru. Nampogeza Mhe JPM kwa kuwabana mabwenyenye wa kenya ili wasipate soko TZ ili mradi wafilisikemkikuyu akili timamu,
asante sana kwa comment yako. ila tegemea matusi na kashfa toka kwa blind patriot wa kikenya wa hapa jf.
sitoshangaa wakisema wewe si mkenya.
Siwez sherehekea ukuta, daraja yes..ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...
Ugaidi wenyewe unawamaliza kdf kama bata,fuatilieni wale wahuni wa kibiti Polisi wa tz nini iliwafanya na Tpdf haikuingia sasa Leo wametawanyikia msumbiji na kwenu huko kuwasumbua maana ni jamii hiyo hiyo,kdf ni dhaifu katika majeshi yaliyowahi patikana karne hii ya 21 bado mna safari ndefu.Ww ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
So what do you want to celebrate in kenya army? Their constant contribution to HIV/AIDS in areas near their baracks like Nakuru? or Killing their girfriends like in kahawa baracks area?ukuta sio jambo la kusherehekea wewe mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?...fikiria europe wakianza kuimba imba eti wamejenga ukuta si tutawaona limbukeni jamani...sometimes hata kama uko na shida unavaa nguo safi na tabasamu ukienda sokoni angalau ufiche shida zako...
to control illegal immigration and infiltration of terrorists from Somalia...whats hard to understand?Siwez sherehekea ukuta, daraja yes..
Lengo la ukuta huo na huo wenu ndio sijaelewa labda unieleweshe,huo wa kuzuia wizi wamadini ya tanzanite vp huo wenu unatija gani
kile unafaa kuelewa ni kuwa Kenya ukuta sio kipimo cha maendeleo....kazi inafanywa bila kupiga piga mayowe....ukuta ni ukuta tu....akili za kiafrika (third world mentality) mwache kabisa....So what do you want to celebrate in kenya army? Their constant contribution to HIV/AIDS in areas near their baracks like Nakuru? or Killing their girfriends like in kahawa baracks area?
Mkimaliza kujenga ndio tutapata majibu kama umesaidia au laa ,Hao wasomali sio watu wakawaidato control illegal immigration and infiltration of terrorists from Somalia...whats hard to understand?
ndio....kwa sasa haijulikani kama ukuta utatimiza lengo lake ama utalipuliwa na wakora wa somali...ila point yangu ilikuwa ni kutosherehekea vitu vidogo vidogo kama ukuta...tuwe na akili za maendeleo jamaniMkimaliza kujenga ndio tutapata majibu kama umesaidia au laa ,Hao wasomali sio watu wakawaida
hahahaha breaking news kisa ukuta....duh!! maajabu haya...ukuta wa kwanza duniani sio?Mada kama hizi ndo huwa zinaonesha wazi tofauti kati ya mkenya na mtz ni ipi. Yaani tutazidi kupaa tu! Tutaacha wengine wakizinguliwa na ukuta! Najua hii leo lazima iwe Breaking News kwenye Tv. za Tz! Hahaha 😀😀😀 Hii ni zaidi ya Ze Comedy Show!
Mtoa mada alisema muda waliopewa kufanya kazi iyo na ufanisi mpaka kuikamilisha ndio kilichomvutia...sidhn kama kuna mtu anaweza sherehekea ukutandio....kwa sasa haijulikani kama ukuta utatimiza lengo lake ama utalipuliwa na wakora wa somali...ila point yangu ilikuwa ni kutosherehekea vitu vidogo vidogo kama ukuta...tuwe na akili za maendeleo jamani
So according to you Nyangau thats a wall?what is a wall? ukuta brathe mbona unafikiria kana kwamba una akili za kima?
lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?Mtoa mada alisema muda waliopewa kufanya kazi iyo na ufanisi mpaka kuikamilisha ndio kilichomvutia...sidhn kama kuna mtu anaweza sherehekea ukuta
Wewe ni Mtanzania na kama ni Mkenya basi ni Mkenya mjinga tu.Matusi tumeyazoea. Wacha nikwambie ukweli, kabila litalotoa Jubilee mamlakani ni wakikuyu, hata wao wamechoka na kutapeliwa na uhuru. Nampogeza Mhe JPM kwa kuwabana mabwenyenye wa kenya ili wasipate soko TZ ili mradi wafilisike
we jamaa wacha ushamba...ni nani aliyekudanganya ukuta lazima uwe umejengwa kwa mawe na simiti??😀😀😀😀kuna ukuta hata wa glass, ukuta wa steel au mbao...punguza ushamba tafadhali 😀😀😀 ubaya wako ukiskia ukuta kinachokujia akilini ni ukuta uliojengwa kwa mawe na simiti..hahahaha...its not like that broSo according to you Nyangau thats a wall?
Nikwasababu waliopewa kazi iyo ni jeshi la kujenga taifa (JKT )So kwa vile nyie ni watani ndio alitaka challenge nyie kama kdf ikipewa kazi kama Iyo wanaweza kuikamilisha kabla ya wakati uliopangwa...lakini jambo hilo ndilo likamfanya afungue uzi ama alikuwa anataka tu uchokozi....mfano amemaliza kwa kuitaja jeshi ya Kenya...nadhani kusudi lake lilikuwa uchokozi maana habari yenyewe ni ya tz mbona kaitaja KDF? ama unaonaje?
unalialia nini mugger.Ungekua unafafanua ni kwanini ukuta kujengwa huko kwa tanzanite badala ya heka heka mingi! Unavyojua hakuna Mkenya huchimba hiyo tanzanite yenu,ni nyinyi wenywe na kuuzia Wakenya na Wahindi. Makosa iko wapi ikiwa Kenya na India ndio world's largest tanzanite exporters and sellers yet tanzanite is only found in one place in the world-Mirerani,Tz! Digest that then tell me who's the smart one!! 😀😀😀