Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,071
Kwahiyo Mkuu hakutakuw ana madhara yoyote si ndio? Najua faida zake huko mbeleni inaweza kuwa fursa endapo akipenda kujiunga na majeshi. Ila kama hana hiyo interest kwa sasa na afya yake hairuhusu nadhani anaweza tu asiende sindio? Maana nadhani haitomzuia kupata nafasi ya kusoma Chuo kikuu hapo baadae endapo atafaulu.Hakuna consequences yoyote akienda au asipokwenda ila kama anauwezo na Hana matatiz ya kiafya ni vizuri akienda
Mambo ya jeshi ayahusiani kabisa na kupata chuo,mkopo Wala kazi ila Sina uhakika Kwa kazi za jeshini lakini kiujumla aina consequences yoyote pia wapo vijana wengine waliomaliza kidato Cha sita lakini hawatopata nafasi yakuchaguliwa kwenda jeshiKwahiyo Mkuu hakutakuw ana madhara yoyote si ndio? Najua faida zake huko mbeleni inaweza kuwa fursa endapo akipenda kujiunga na majeshi. Ila kama hana hiyo interest kwa sasa na afya yake hairuhusu nadhani anaweza tu asiende sindio? Maana nadhani haitomzuia kupata nafasi ya kusoma Chuo kikuu hapo baadae endapo atafaulu.
Sawa Mkuu nimekupata. Kumbe ni bahati pia. Sijui wanatumia vigezo gani kwenye kuwachagua. Au wana apply strategy ya simple random selection?Mambo ya jeshi ayahusiani kabisa na kupata chuo,mkopo Wala kazi ila Sina uhakika Kwa kazi za jeshini lakini kiujumla aina consequences yoyote pia wapo vijana wengine waliomaliza kidato Cha sita lakini hawatopata nafasi yakuchaguliwa kwenda jeshi
HawajachaguliwaMbona majina ya wadogo zetu wengine hayapo kweny kambi zote zilizowekwa?
Kikubwa naona ni kile chetNaomba mwenye kujua atujulishe kuna madhara gani kwa kijana aliyeitwa asipoenda ? What would be the consequences of not attending ?
Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna wazazi wanahaha hawana uwezo wa kuwapatia voijana wao hayo mahitaji na hizo nauli. Kwa haraka haraka hayo mahitaji pamoja na nauli ya kwenda na kurudi si chini ya 200K.
Huu wito wao wanaona umekuwa wa ghafla hawakuandaliwa mapema. Ilitakiwa kijana aandaliwe tangu akiwa masomoni kuwa atatakiwa kwenda JKT soon baada ya kumaliza mitihani ya F6.
Hivi mtu akijipeleka huwa wanapokelewa? maana kuna dogo hapa hajachaguliwa anataka ajipelekeKikubwa naona ni kile chet
Chet cha jkt kitakusaidia mengi sanaa sanaaaa
Ajipeleke tu coz wanafunzi wengi wanaochaguliwa hawaendi kwahiyo hawezi kukosa nafasi, aende zile kambi za pembezoni anapokelewa kiroho safiHivi mtu akijipeleka huwa wanapokelewa? maana kuna dogo hapa hajachaguliwa anataka ajipeleke
Hivi kwan ni lazima kwenda? Na je nsipoenda watanifanya nini?Jkt ni kwenda kupoteza muda tu
So ndo imetoka hiyo, sio?Hawajachaguliwa