JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

Hakuna consequences yoyote akienda au asipokwenda ila kama anauwezo na Hana matatiz ya kiafya ni vizuri akienda
Kwahiyo Mkuu hakutakuw ana madhara yoyote si ndio? Najua faida zake huko mbeleni inaweza kuwa fursa endapo akipenda kujiunga na majeshi. Ila kama hana hiyo interest kwa sasa na afya yake hairuhusu nadhani anaweza tu asiende sindio? Maana nadhani haitomzuia kupata nafasi ya kusoma Chuo kikuu hapo baadae endapo atafaulu.
 
Mambo ya jeshi ayahusiani kabisa na kupata chuo,mkopo Wala kazi ila Sina uhakika Kwa kazi za jeshini lakini kiujumla aina consequences yoyote pia wapo vijana wengine waliomaliza kidato Cha sita lakini hawatopata nafasi yakuchaguliwa kwenda jeshi
 
Sawa Mkuu nimekupata. Kumbe ni bahati pia. Sijui wanatumia vigezo gani kwenye kuwachagua. Au wana apply strategy ya simple random selection?
 
Mwaka huu kambi gani watafanya usaili wa madogo kwenda TPDF mwenye kufahamu, maelezo tafadhali.
 
Naomba mwenye kujua atujulishe kuna madhara gani kwa kijana aliyeitwa asipoenda ? What would be the consequences of not attending ?

Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna wazazi wanahaha hawana uwezo wa kuwapatia voijana wao hayo mahitaji na hizo nauli. Kwa haraka haraka hayo mahitaji pamoja na nauli ya kwenda na kurudi si chini ya 200K.

Huu wito wao wanaona umekuwa wa ghafla hawakuandaliwa mapema. Ilitakiwa kijana aandaliwe tangu akiwa masomoni kuwa atatakiwa kwenda JKT soon baada ya kumaliza mitihani ya F6.
Kikubwa naona ni kile chet

Chet cha jkt kitakusaidia mengi sanaa sanaaaa
 
Hivi mtu akijipeleka huwa wanapokelewa? maana kuna dogo hapa hajachaguliwa anataka ajipeleke
Ajipeleke tu coz wanafunzi wengi wanaochaguliwa hawaendi kwahiyo hawezi kukosa nafasi, aende zile kambi za pembezoni anapokelewa kiroho safi
 
Back
Top Bottom