JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

Du mzee acha kujitoa ufahamu, Mimi nikitoka Zanzibar kuja Dar na mizigo yangu nachajishwa Kodi hata Jagi moja la umeme TRA wanakuzunguka kama umetoka ughaibuni, lakini nikitoka na bidhaa Dsm kuja nayo Mbeya hakuna Kodi ,
Zanzibar ni nchi yenye mamlaka kamili , ndo mana uwezi Kuta Mtz yupo kama kiongozi katika serikali ya Zanzibar ,
Wenzetu wanakitambulisho Cha uzanzibar
 
Hapa sasa Tumekuja Into Agreement na Hii ndiyo sawia..
NIlitaka kuonyesha Kitu!
Kuwa Zanzibar wana Sababu na wao za kusema hivyo wanavyosema kwa Mujibu wa Katiba yao na Sisi tunasababu kusema tunavyossma kwa mujibu wa katiba yetu..

Sasa niamishe swali na nikuombe ikukupendeza Uanzishe uzi Chambuzi (Maana kwa uchambuzi Nakupa maua yako "Sina shaka na wewe kwa hilo)..
Unafikiri wapi Tulikwama Kuweka katiba mbili zenye mamlaka Mbili zenye Nguvu?
(Nanukuu Baba wa Taifa alivyosema "Hii katiba inanipa madaraka makubwa saba siku akija Kiongozi dhalimu akaitumua vulivyo atawanyoosha kweli kweli")

Vipi kama Akapatikana Rais Dhalimu Huko zanzibar au Akapatikana Rais kutka Chama Pinzani na akaitumia Katiba ya Zanzibar To the fullest tutakuwa tuko salamaa?

Inamaana vyombo vyetu vya Usalama na vya kimaamuzi havikuona hili?

Au Vipi kama akapatikana Rais wa Upinzani Bara na Rais wa Ccm akabaki zanzibar Je huoni kama Kwa katiba ya Tanzania Rais wa Upinzani atamfanya Rais wa Zanzibar Kolon?

Hebu fikiria Kwa upande huo na unipe jibu?
Jibu litazamie Utata wa katiba zote mbili kimaamuzi na kidola
 
Ndiyi nilichokisema hicho..
IFS: Pascal Mayalla please regards..
Na POST #122
 
Kaka kataa au kubali, hadhi ya JKU na police ni vitu viwili tofauti
 
Hapa linapokuja suala la wazanzibari na serikali yao utakuwa unawakosea sana ndg Paskali.

Jamaa zetu wanaamini sana katika kuwa fully combat in country yao, ndiyo maana kuna siku nilikuwa kule nikaoma migambo yao ikifanya vurugu kama zile zinazofanywa na mgambo wa city kufukuza wauza mabegi pale darajani.

Ila swali la muulizaji kwenye mada bado halijibiwi.
 
NB, ukisikia migambo, usidhanie ni hawa mgambo wa jiji!.

Hicho ndicho ulitakiwa uwaeleze mkuu.
 
Jeshi ni lugha tu but si jeshi kitaalam. Wangekuwa jeshi kamili wasingekuwepo chini ya wizara ya mambo ya ndani, hata kisheria hawana power kama waliyonayo jeshi la wananchi ambalo ndio main military.
Ilifaa polisi iitwe idara ya huduma ya kipolisi sababu ni chombo cha kiraia.
 
Nyinyi mnaovidharau hivyo kivosi tatizo hamna macho yakuona mbali mnangalia kwa karibu tu.

Mumeshawahi kujiuliza itakuaje siku visiwan upinzani wakachukua nchi.
Rais wa Zanzibar akapingana na Rais wa Tanzania na akatumia ivo vikosi kujilinda itakua ni rahis san kuviimarisha ivo vikosi na vikaweza kuleta madhara makubwa san kuliko mnavyodhania nyinyi wakati huu.

Wakat wa Rais komandoo salmin alitaka kuviimarisha ivo vikosi na kuvinunulia zana nzito za kivita ila akazuiwa.
 
Ukomandoo aliupatia nchi gani?
 
Hoja zako zimeshiba mkuu.
 
Nenda kasome historia yake utajua ukomandoo aliupatia nchi gani
Nadhani ukipitia wewe ukaja kutuambia itapendeza zaidi, maana tumewahi kuwa na Luteni Karama, Captain John Komba na Inspector Haroun lakini they were never be Military Personnel
 
Nadhani ukipitia wewe ukaja kutuambia itapendeza zaidi, maana tumewahi kuwa na Luteni Karama, Captain John Komba na Inspector Haroun lakini they were never be Military Personnel
Wote uliowataja uko sahihi kasoro Captain John Komba alikuwa Ret. Captain kwenye Jeshi la JWTZ maybe historia Yake huijui vizuri..
 
ulichoeleza ndio sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…