The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ww unachuki ila ukweli unaujua kwmb The Giant Tz inakwenda kuwa the leading economic State in EA(The controller [emoji23][emoji23]) na ndvyo ilivyopaswa kuwa miaka mingi iliyopita ila viongozi walikuwa wanatuangushaUwezo gani????, jua nchi yako kikamilifu Sio kuoutia reports za media, Tanzania haina uwezo wa kufadhili miradi mikubwa kabisaa! We know your revenue collection annually and your national budget. Vyanzo vyenyu vya kutega uchumi havitoshi kufinance national budget 100%, kilaza pekee kama wewe ndio ata amini propaganda za CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki za wazi wazi ila namba mnaisoma mdg mdg [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unachuki ila ukweli unaujua kwmb The Giant Tz inakwenda kuwa the leading economic State in EA(The controller [emoji23][emoji23]) na ndvyo ilivyopaswa kuwa miaka mingi iliyopita ila viongozi walikuwa wanatuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Komora majibu ya mirembe yametoka nimekutwa mgonjwa sasa nifanyie mpango nije kuishi kibera nipate kujumuhika na wenzangu
Njoo nikupeleke mathareKomora majibu ya mirembe yametoka nimekutwa mgonjwa sasa nifanyie mpango nije kuishi kibera nipate kujumuhika na wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaopenda historia km hz tuna like wp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati nipo NBO nilifanya kautafiti kidogo nikagundua 85-90% huwa wanakuwaga busy for nothing ..Wako busy na maisha halafu at the end of the day wanaishia kibera,dandora na Mathare
Hapa najifurahisha na vile mumeshangazwa na maendeleo yanayotokea kwenyu, kisha mnadhani mko level ya Kenya, wengine humu wanapiga kifua eti wako sawa kushinda Nigeria., ni raha, munafurahisha [emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya ndege za Nairobi ni za KIA proximity ya 2 airports inafanya zionekane kama zote ni JKIA!
Wewe ni Mpumbavu mno!
Nigeria kuanzia Usafiri wa barabara, Umeme, maji, Huduma za afya hata DRC Congo or Burundi wako mbele yao.
Hujawahi fika Nigeria sema kwakua tu una inferiority complex na GDP yao ya kupika unadhani wako mbele ya Kenya, Kenya, Tanzania wako mbele mno ya Nigeria.
Nigeria ni nchi ambayo inaondeshwa na generators, swala la umeme ni adimu sana nchi nzima kwa sababu ya upigaji. World bank reports zinaonesha kuwa, Nigeria ni nchi ya kwanza Duniani kwa ununuzi wa generators, na generators industry in Nigeria stands at $7billion.
View attachment 1364014
Are you talking about that KIA with 150000annual PAXBaadhi ya ndege za Nairobi ni za KIA proximity ya 2 airports inafanya zionekane kama zote ni JKIA!
I think you are talking about another Nigeria. You dwell on what you hear but not on what you know.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe ufike Nigeria kwa net.You are very stupid.
I am in Nigeria right now, in Anambra state.
Which town?You are very stupid.
I am in Nigeria right now, in Anambra state.
Wacha afanye googling tutamkamata tu Hadi ajue Wakenya sio wapumbafu.
[emoji23][emoji23] stupid old manBaadhi ya ndege za Nairobi ni za KIA proximity ya 2 airports inafanya zionekane kama zote ni JKIA!