JNIA vs JKIA tuliwaambia

JNIA vs JKIA tuliwaambia

Uwezo gani????, jua nchi yako kikamilifu Sio kuoutia reports za media, Tanzania haina uwezo wa kufadhili miradi mikubwa kabisaa! We know your revenue collection annually and your national budget. Vyanzo vyenyu vya kutega uchumi havitoshi kufinance national budget 100%, kilaza pekee kama wewe ndio ata amini propaganda za CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unachuki ila ukweli unaujua kwmb The Giant Tz inakwenda kuwa the leading economic State in EA(The controller [emoji23][emoji23]) na ndvyo ilivyopaswa kuwa miaka mingi iliyopita ila viongozi walikuwa wanatuangusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa najifurahisha na vile mumeshangazwa na maendeleo yanayotokea kwenyu, kisha mnadhani mko level ya Kenya, wengine humu wanapiga kifua eti wako sawa kushinda Nigeria., ni raha, munafurahisha [emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki za wazi wazi ila namba mnaisoma mdg mdg [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili mumeimba sana, wengi walisema by 2020 Tz will be the biggest economy in EAC, now tumebakisha siku 5 kuingia 2020., gap imepanuka!., what went wrong? Propaganda za CCM zinatumbuliwa na wakati, na pia uhalisia ya maisha ya mtanzania wa kawaida., balaa, sina chuki napenda ukweli tu. Facts brother, only facts.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww unachuki ila ukweli unaujua kwmb The Giant Tz inakwenda kuwa the leading economic State in EA(The controller [emoji23][emoji23]) na ndvyo ilivyopaswa kuwa miaka mingi iliyopita ila viongozi walikuwa wanatuangusha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20191228-111914.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako busy na maisha halafu at the end of the day wanaishia kibera,dandora na Mathare
Wakati nipo NBO nilifanya kautafiti kidogo nikagundua 85-90% huwa wanakuwaga busy for nothing ..
..ubusy wao ni wauzururaji tu na kwenda kukaa garden park na wengine kulala kabisa kwenye garden wengi huwa hawana shughuli za kufanya huo ndiyo ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa najifurahisha na vile mumeshangazwa na maendeleo yanayotokea kwenyu, kisha mnadhani mko level ya Kenya, wengine humu wanapiga kifua eti wako sawa kushinda Nigeria., ni raha, munafurahisha [emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni Mpumbavu mno!

Nigeria kuanzia Usafiri wa barabara, Umeme, maji, Huduma za afya hata DRC Congo or Burundi wako mbele yao.

Hujawahi fika Nigeria sema kwakua tu una inferiority complex na GDP yao ya kupika unadhani wako mbele ya Kenya, Kenya, Tanzania wako mbele mno ya Nigeria.

Nigeria ni nchi ambayo inaondeshwa na generators, swala la umeme ni adimu sana nchi nzima kwa sababu ya upigaji. World bank reports zinaonesha kuwa, Nigeria ni nchi ya kwanza Duniani kwa ununuzi wa generators, na generators industry in Nigeria stands at $7billion.

nigeria.jpg
 
I think you are talking about another Nigeria. You dwell on what you hear but not on what you know.
Wewe ni Mpumbavu mno!

Nigeria kuanzia Usafiri wa barabara, Umeme, maji, Huduma za afya hata DRC Congo or Burundi wako mbele yao.

Hujawahi fika Nigeria sema kwakua tu una inferiority complex na GDP yao ya kupika unadhani wako mbele ya Kenya, Kenya, Tanzania wako mbele mno ya Nigeria.

Nigeria ni nchi ambayo inaondeshwa na generators, swala la umeme ni adimu sana nchi nzima kwa sababu ya upigaji. World bank reports zinaonesha kuwa, Nigeria ni nchi ya kwanza Duniani kwa ununuzi wa generators, na generators industry in Nigeria stands at $7billion.

View attachment 1364014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe ufike Nigeria kwa net.

Sent using Jamii Forums mobile app

Last time I visited Tanzania was in 2005 or 2006. I don't live in Tanzania.

I have been to Nigeria so many times, and to so many states. I don't owe a silly motherfucker like you an explanation. I did tell you what you need to know, the rest is up to you.

And again, you are very stupid.
 
Back
Top Bottom