The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ww unachuki ila ukweli unaujua kwmb The Giant Tz inakwenda kuwa the leading economic State in EA(The controller [emoji23][emoji23]) na ndvyo ilivyopaswa kuwa miaka mingi iliyopita ila viongozi walikuwa wanatuangushaUwezo gani????, jua nchi yako kikamilifu Sio kuoutia reports za media, Tanzania haina uwezo wa kufadhili miradi mikubwa kabisaa! We know your revenue collection annually and your national budget. Vyanzo vyenyu vya kutega uchumi havitoshi kufinance national budget 100%, kilaza pekee kama wewe ndio ata amini propaganda za CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app