JNIA vs JKIA tuliwaambia

Wewe unawakilisha akili za wakenya wengi, sikulaumu kutokana na uwezo wako mdogo wa akili.

Hivi kampuni lako au biashara yako ikiwa na wafanyakazi kumi, utasema umeajiri wakenya kumi au utasema imeajiri wakenya kumi pamoja baba zao, watoto wao na wake zao?.

Tunaposema KDF imeajiri wakenya elfu 30, au Wizara ya Afya imeajiri madaktari Elfu 10, kwanini huzungumzii familia zao, acha ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uwezi weka facts, fyata mdomo., poverty mentality. Thick headed can't learn anything. Hakuna kitu umeongea., useless bongolala.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats y nikakwambia, akili zako wazijua mwnywe...
Mwanaume anapotoka nyumbani na kwenda kujitafutia huaga hawazi tumbo lake pekeake lazima ukumbuke umeacha familia nyumbani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wako down IQ., cant argue with them, weka tu facts and ignore their empty rhetoric., they can't factually ascertain the superiority of their jnia over jkia., apart from airport cosmetics, which don't translate into revenue. Hawa nawaonea huruma sana, nchi nzuri, raiya mazuzu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi tu hawa jamaa,kazi kupiga domo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona imewaingia hyo jomba...na km huwaangalii wazazi wako utakua unalaana

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Kenya inawafanyakazi laki 6, hiyo ndio hesabu ya "Employees" wake ktk data base ya serikali, na bajeti ya serikali hupangwa kutokana na idadi hiyo, hiyo habari ya wazazi na watoto ni juu ya " individual employee, huwezi leta katika bajeti ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, cosmetic is your GDP, you can't show anything on the ground which reflects your " Bigger GDP", every project even the very small ones can't without borrowing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu mmekataa kuleta annual revenue ya jnia., the real value of an airport., siku nyingine mufanye utafiti dhabiti before starting a thread merely for empty praises and stupid comparisons.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]we nawe unadandia kisu kwa mbele,,,
hata haujui kwanini namcheka chokoraaa festo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka ujinga wako kibera
 
Wa nubii pia wamejaa kwenye hzo slums..
Usisahau wale makahaba wa tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtaambiwa mara ngapi, cost of living is lowest in LDCs.
Unavyopanda daraja, cost of living inapanda.
Mshahara wa South Africa, Egypt, UK vile vile uko juu ya Kenya.
 

Kelele bila kusema chochote. Uliskia wapi mishahara ni ya serikali pekee?
Kenya has a vibrant private sector, na mishahara yetu ni mara tatu ya Tanzania.
Mishahara pia naongea kuhusu income za biashara.

Mtanzania wa kawaida hawezi afford kuishi Kenya.
Mkenya akija huko anakuwa tajiri automatically.
 
Sasa unafikiria wanaopewa hyo mishahara hawana bajeti wanazozipangia familia zao kw ajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku...

Joto la jiwe, akili zako unazijua mwenyewe[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...we mwenyewe ukifika kule unajikuta tajiri tu ghafla, jamaa kitaa wanakuheshimu manake wanakuta unafanya mambo hta bila ya kufikiria mara mbili wkati wao wanaona expensive kinyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu mmekataa kuleta annual revenue ya jnia., the real value of an airport., siku nyingine mufanye utafiti dhabiti before starting a thread merely for empty praises and stupid comparisons.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, maumivu makubwa sana, mumeshindwa katika vigezo vya 1)Biggest, 2)Modern, 3)Beautiful, 4)Technologically advanced Airport, mambo ambayo mlikua mkiringa sana kabla ya kujenga hii terminal 3, sasa mnabadilisha vigezo.

Sikiliza wewe kichaa, ukubwa na uzuri wa wa Nyumba, uwanja wa michezo, gari au ndege, haupimwi kwa wingi wa watu wanaoishi au kutumia hilo gari, au kiwango cha pesa kinachopatikana.

Kasarani na Tanzania National Stadium, haxilinganishwi kutokana na mapato au watu wanaoingia kwa mwaka, Bali vinalinganishwa kwa " Capacity, technology, and beauty ", hata visipotumika kabisa, lakini capacity zao zinajulikana, acha kutapatapa haitokusaidia, kubaliana na ukweli, JNIA is more superior than JKIA kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…