JNIA vs JKIA tuliwaambia

Kaa ufatilie mambo.CHINA NI BABA WA USA KWA SASA USIKALIE KUKESHA JF TU.NA KTK KILA TRADE WAR USA ANASHINDWA MBELE YA CHINA HV HAUJUI HADI IPHONE IMESHUSHWA MAUZO NA KAMPUNI ZA CHINA? KM HAUJUI SEMA HAUCHINJWI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Still na wewe pia umekuja na story za vijiweni...
Swali, hayo maneno yako umeyatoa wapi?
Jf ni mwendo wa facts tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still na wewe pia umekuja na story za vijiweni...
Swali, hayo maneno yako umeyatoa wapi?
Jf ni mwendo wa facts tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapitie kuhusu USA-China trade war IPO ht YouTube andika watakuletea ukishindwa sema nikupe link.then ukimaliza kapitie video mule mule YouTube kuna uchambuzi usemao 'who needs who btn US-China trade war' ukimaliza kapitie uchambuzi mule mule YouTube usemao 'How USA is loser in US-China trade war'.
Halafu urudi tubishane .ukishindwa nambie nikuletee link wachambuzi ni wanauchumi wa pande zote mbili wanaelezea hadi athari Us alizopata ktk trade war na China.
Maana unakua mbishi hujui halafu mbishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiria nani haijui hyo video, wale wana uchumi kila mtu anavutia kwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiria nani haijui hyo video, wale wana uchumi kila mtu anavutia kwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan wanauchumi wa kimarekani wamesema kabisa wanamshauri Trump aache trade war na China .HIV we umeitizama vema ile video?ASA American economists wenyewe wameelezea madhara yanayoikumbwa US ktk hii trade war ASA wao wanafaidika nn na wanavutia upande gani?kaka hapa ndio nimeamin ww mbishi aisee .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ubishi uko wakati kuna wanauchumiwengine wa marekani wanapinga vikali...hapo ndipo nimeelewa ya kua wanauchumi wengi uchwara tu, siku hz wnaafanya km kiki tu...kwanza mwana uchumi mwenye yuko pande ya demecratic nakwambia utasikitika...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalinganisha vitu vingine tu,tulinganishe sura za watz na wakenya muone mlivo na sura mbaya,yaani huku mwenye sura mbaya akienda kenya anaonekana handsome,huko nairobi kuna raia wana sura kama mende
Tuma picha yako tukuone handsome[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalinganisha vitu vingine tu,tulinganishe sura za watz na wakenya muone mlivo na sura mbaya,yaani huku mwenye sura mbaya akienda kenya anaonekana handsome,huko nairobi kuna raia wana sura kama mende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gdp chini
Per capita chini
HDI chini
Infrastructure chini
Health chini
Education chini....

Yani tunazidi kuongoza region hadi the only option left is attacking Kenyans by their looks.
How do you even measure beauty among 47m people??

I hope your looks put meals on your table otherwise wacha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni kiazi mbatata .Wananchi wenyewe wanalalamika kuwa wanaumia na hyo trade war we unasema nn?!makampuni yaliomba trade war iishe ili wapate vifaa vya utengenezaji kutoka China ambavyo ni bei ya kawaida na imara.Google wnyewe walimwomba Trump atoe vikwazo vya android kwa Huawei je nao hao google ni Democratic?!!! Bro ebu acha kulazimisha ujuaji.ASA hyo trade war uisemayo imeshusha mauzo ya apple na apple kuwa brand ya tatu ikiwa nyuma ya Samsung na Huawei .Trade war hyo hyo imezorotesha ukuaji wa uchumi wa US kuwa 2.2% toka 2.6% ilhali mwenzake China ni 6% na China anampumulia US makalion ktk uchumi.Sijui km hili sakata lote Ulilifatilia .ASA km hayo makampun,Google na wananchi waliomsihi trump aache trade war ni chama pinzani sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachen kujisifu ilhali huko kwenu watu hujiua hususan wanachuo kuogofya maisha magumu.ASA sijui hayo ma GDP kaz yake nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalinganisha vitu vingine tu,tulinganishe sura za watz na wakenya muone mlivo na sura mbaya,yaani huku mwenye sura mbaya akienda kenya anaonekana handsome,huko nairobi kuna raia wana sura kama mende
Unataka sura ya mwanaume handsome ili iweje? Kwani wewe wale hupitia njia ya Mpalange?
Wanaume wa Dar lakini! Duh!
 
Kenya zaidi ya ukabila na rushwa, hakuna kitu kingine inazidi Tanzania, katika Medical facilities ", Tanzania ni level ipo top 3 Afrika, just next to South Africa & Egypt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We chezea siasa tu, we unafikiria ukimwambia mwananchi wa republican hayo mambo atakuelewa...

Nenda hata mitandaoni ukakute vyenye wale jamaa wanavyorushana maneno...thats y mimi siyatilii maanani mambo ya siasa...

Si juzi tu mlipinga data za ukuaji uchumi za IMF mkidai uchumi wenu mnaujua wenyewe...

Kwahyo pia ya wamarekani wanayajua wenyewe...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui unachokisema wewe.
Halafu still unaleta ujuaji mwingi.
Kwahyo hayo makampuni yaliyoomba trump aache trade war ni makampuni ya chama pinzani?
Je google ilipoomba Trump atoe ban yao kwa Huawei nayo google ni chama pinzani?
Nijibu hayo maswali.
Jamaa tatizo lenu wakenya mnajifanya mnajua kila kitu punguza ujuaji mwingi usio na maana huzalisha upumbavu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote kampuni yako km haina uhisiano/ushirikiano mzuri na serikali lazima litafanyiwa figisu figisu...

Punguza ujuaji jomba, wewe uko tanzania na habari za siasa za marekani unafanya kuzisoma mitandaoni tu..so uhalisia wenywe huujui, marekani kuna makampuni kibao..jiulize kwnn sasa makampuni mengine hayalalamiki...

Kiufupi nikupe mfano tanzania(clouds tv na tbc si wanapeta) km sijakosea.. au ushaskia azam tv kusumbuliwa kijingajinga? nadhani jibu unalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jamaa ni mbishi nimekupa mfano kuwa makampuni ama viwand a yanayochukua malighafi China ni mengi mno kwasababu Mali ghafi za China ni imara na bei rafiki ndio maana makampuni ama viwanda vya kutengeneza maboti na meli nchini marekani viliomba Trump aache trade war .
Kwann nyuma hayakuwa yakilalamika hayo makampuni?
Kingine google ni ya US na alotoa ban kwa Huawei isitumie android ni Trump akidai Huawei wanaiba technology ya US.
Lakini C.E.O na wakurugenzi walimsihi Trump aondoe ban kwa Huawei ili waendelee kutumia android kwasababu ikitokea Huawei wakafanikiwa kutengeneza OS yao na ikafanya kaz na kwa jinsi China sasa HV alivyokua na ushawishi mkubwa ulimwenguni wa kibiashara android itashuka soko.
ASA sijui umeelewa hii point???
NAKUSIHI PUNGUZA UJUAJI MWINGI HUZALISHA UPUMBAVU.
CHINA-USA TRADE WAR IMELETA ATHARI KUBWA UPANDE WA USA KULIKO CHINA IMEPELEKEA HADI MAUZO YA SIMU ZA APPLE KUSHUKA KAFATILIE HILI WACHA KUKAA KIDANANDA.
ASA HYO GOOGLE NI YA US NATAKA UNAMBIE MAHUSIANO GAN MABAYA GOOGLE INAYO MPK TRUMP ASEME HUAWEI HAWARUHUSIWI KUTUMIA HUDUMA ZA GOOGLE NA KWANN NI KWA HUAWEI TU YA CHINA ??
NA KWANN VIWANDA/MAKAMPUNI MENGI YANAOCHUKUA MALIGHAFI KTK SHUGHULI ZA MANUFACTURING ZIMUOMBE TRUMP NA KUMSIHI AACHE TRADE WAR?
JE MAKAMPUNI YOTE HAYO YAWE NA UHUSIANO MBAYA NA SERIKALI NDANI YA WAKATI MMOJA?
NA KWANN IWE KWA CHINA SIO KWA MATAIFA MENGINE?
MPK NAKUDHARAU SASA KAKA KUWA UNA UPEO FINYU SANA WA KUTANABAISHA MAMBO.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insha yote hyo ya nn jomba wakati kitu ni rahisi tu...ukitaka kampuni yako isiyumbishwe, shirikiana na serikali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump ni adui wa maendeleo, na kwa mbinu zake zote anazozitumia makampuni mengi yakaanza kumpinga kw sera mbovu za kiuchumi alizokua nazo...
Jamaa mitaani waliamua kuingia barabarani ikashindikana, sera zake yeye sana zinaegemea kw mambo ya kibabe...

Sasa waache walione jote lake, kw sababu kila mtu hufanya kitu kw sababu zake za msingi...
Anajua anachokifanya na ywajua pia km ywalenga nn, sasa wewe uko ldc umefanya kusoma habari za hko mitandaoni ndio unajiona sasa unajua kila kitu mpka unajitia uwalimu...

Sasa wacha nikwambie hivi, mimi labda mtu anifunze maisha na mambo mengine ya msingi wala sio siasa...
Siasa siku zote hazina ukwel, ukwel uutoe wapi wakati wanaojua ni wale wale wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…