Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Ni haki yake.
Akipitishwa na chama chake sijui atanyoa hizo nywele au ataenda nazo mjengoni? binafsi ningependa aende nazo.
Anaweza kuwa na "madini" sana kichwani, kuwa msanii hakuna maana uwezo wa kufikiria nao unakuwa mdogo.
Hayo mawazo mgando tuyaache.
Alishatoa yale marasta, upo wapi aisse? Majuzi nilikuwa nae pale tunaminya mbege!
Ila ubunge huyu hapati! Rombo tayari ina mwenyewe hata yeye anajua.