Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Anaweza kuwa na uwezo mzuri tu ila tatizo ni chama.Unamjua masterJ wewe!!?? Hebu late sababu ZA kumuita kibajaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kuwa na uwezo mzuri tu ila tatizo ni chama.Unamjua masterJ wewe!!?? Hebu late sababu ZA kumuita kibajaji
Mmeshaanza fitna?!🤣🤣🤣😂Ila babake, marehem mzee kimaryo alidhulumu haki za watu wengi sana TANESCO, sisi kama wahanga hatuta mhukumu kwa hilo kwa maana tunaamini kila mtu atuuchukua mzigo wake mwenyewe ila hatutasahau.
Prof Jay na Sugu waligombea kupitia chama makini kilichowajenga kisiasa. Huyu anagombea Kupitia chama cha vilaza akina kibajaji, Mlinga, Kessy, Msukuma unategemea nini hapo?!Kama huyu ndie producer aliyewatoa kina Prof J na sugu na baadae wakaingia mjengoni,
Leo kwa yeye kutaka kuingia ndio lidharaulike
Mkuu tumwache tuu wapo watakaompenda yeye na chama Chake hicho. Ndio demokrasia hiyoAnaweza kuwa na uwezo mzuri tu ila tatizo ni chama.
My point is huko anapokwenda kugombea wanaruhusu mtu kutumia uwezo wake vizuri.Mkuu tumwache tuu wapo watakaompenda yeye na chama Chake hicho. Ndio demokrasia hiyo
Kwa hiyo shilole ana madiniNi haki yake.
Akipitishwa na chama chake sijui atanyoa hizo nywele au ataenda nazo mjengoni? binafsi ningependa aende nazo.
Anaweza kuwa na "madini" sana kichwani, kuwa msanii hakuna maana uwezo wa kufikiria nao unakuwa mdogo.
Hayo mawazo mgando tuyaache.
Ila babake, marehem mzee kimaryo alidhulumu haki za watu wengi sana TANESCO, sisi kama wahanga hatuta mhukumu kwa hilo kwa maana tunaamini kila mtu atuuchukua mzigo wake mwenyewe ila hatutasahau.