Uchaguzi 2020 Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J) atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

Acheni utani wazee!

Master J
Mwana FA
Harmonize..
Kama musukuma,kibajaji kaweza wao wanashindwa Nini. Bunge la sikuhizi hadhi yake na heshima imeshuka Sana wabunge kazi yao ni kusema tu ndiyoooooo unategemea Nini.
 
Ama kweli nimeamini ubunge unalipa!

Ila mwaka huu wananchi wenzangu tuchague wabunge wenye nia ya dhati ya kutuletea maendeleo sio wenye nia ya kwenda kujinufaisha.

Vyama vinapaswa viwe makini na macho kupitisha mgombea mwenyewe uadilifu na mwaminifu ambaye yuko tayari kukosa posho za bunge kwa ajili ya wananchi wake.

Hofu yangu ni kuwa nyakati hizi kutaibuka watu wengi wakijinasibu kuwatumikia wanchi kumbe wanataka kujinufaisha kupotia ubunge, tuwe machoooooo kodoooooo.
 
Wasanii wote mnakimbilia siasa,kazi ipo huko ndio kunalipa Kuliko professional.
 
Amekata Rasta zake mkuu
 
Kuna watu wanamdharau mwamba. Mwamba shule kapiga. Labda uchanga wa siasa. All in all, ni haki yake wacha akajaribu. Kwenye sanaa kuna watu wengi ni 'manyalali wa fikra' wanaweza kutinga mjengoni kama wakipewa fursa na kufanya makubwa.
 
Waimba pambio wanaongezeka
 
Tujiandae kupata song jipya
intro:stive nyerere
vers1😛rof jay
chorus:harmonize
verse2:mwana fa
bridge:kingwendu
verse3: sugu
outro:shilole
 
Jamaa amenyoa siku nyingi hizo rasta na hata yeye alikiri sababu za kunyoa

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Lile jumba limedharaulika sana kwa sababu ya kina msukuma na Ndugai
Mtanzania yeyote aliyekidhi vigezo anaweza kuchaguliwa na kwenda huko,lile jumba si kwa maalum kwa ajili ya kundi flani la watu tu.
 
Nywele mbona alishanyoa Muda.
 
Bila kusahau jamaa huyo ni injinia wa umeme.
 
Alishatoa yale marasta, upo wapi aisse? Majuzi nilikuwa nae pale tunaminya mbege!
Ila ubunge huyu hapati! Rombo tayari ina mwenyewe hata yeye anajua.
Sorry, mimi sio msanii sina access ya kuonana nae.
 
Ukiwa Mbunge kupitia CCM unaweza kuwa na uwezo kichwani na ukaishia kugonga meza kama akina msukuma, Kibajaji, Mlinga.
Angegombea kupitia chadema ningemuelewa maana kule kuna uhuru wa mawazo, hamna akili za kushikiwa
 
Huyu afadhali
Nahisi kichwa kimetulia kuliko on stage performing artists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…