Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

20221207_175020.jpg
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
That is what goes around comes around
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798LAANA ITAMTAFUNA MPAKA KABURINI!
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Huyu alifukuza sana wapinzani bungeni
 
Hivyo vikao vya muda mrefu sio rahisi mtu awe na pozi la aina moja kwa muda wote, lazima kibinadamu kuna muda wa concentration, lakini pia kuna muda uchovu utakuwepo, na hii hutokea kwa yeyote haijalishi uwe ulitumbuliwa kwa lazima, au bado upo unakula kuku ofisini.

Naamini hata Dr. Samia nae kuna wakati vikao vikiwa vinaendelea huonesha sura ya uchovu, hasa kama akiwa ni msikilizaji.
 
Kweli pesa haikupi furaha ndugai huyu anamiliki petrol station za kutosha hapo Dodoma.......

Senior Jobless natafuta kazi yyte.
Nilitaka niseme kuwa furaha sio pesa.
Big up na ndio Mana alisema anastaafu siasa. Yaani siasa Ni watu wanaibia wengine kwa mgongo wa kuwa Ni wao Ni viongozi wao.cheki viongozi wa wananchi hawadumu duniani popote pale labda Fidel kidogo akikomaa kinyama. Cheki Gadafi walimuondoa Mana watu wanataka kuiba na sio kupata kihalali. Thomas Sankara ,Sokoine Edward Moringe akaondolewa na wezi.
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Hayo ni matokeo ya dhambi ya zuluma za haki alizopoka kwa wanyonge!
 
Enzi zake alitenda dhulma mbaya sana. Hasa nikikumbuka maneno yake ya dhihaka dhidi ya Lisu wakati akiwa yuko hoi kitandani akawa anasema hajui alipo!!

Akamvua ubunge na kumnyima stahiki zake. Acha apate mateso angali hai.
Huwa wakiambiwa kwamba ubaya hulipwa hapahapa duniani wanadhani tunawaambia wale viwavi-jeshi.😂😂😂😂
 
Apewe uwaziri

Marehemu SITTA alipewa uwaziri baada ya usupika
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Sheria au kanuni wanazitengeneza na kuzitetea wenyewe bila kujua kwamba siku moja hizo hizo zitakuja kukudhibiti na wewe uliyeshiriki kuziweka ukidhani wewe hazitakuhusu !! Note : Katiba ndio sheria mama !!
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Wacha avune alichopanda.
 
Back
Top Bottom