Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha inazungumza sana. kiukweli jamaa hana furaha na uwepo wake hapo.Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Wala hana wasiwasi anasubiria posho na mafungu kedekedePicha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Acha apate malipo yake angali haipicha inazungumza sana. kiukweli jamaa hana furaha na uwepo wake hapo.
anajumlisha,anatoa,anagawanya,anazidisha lakini wapi hapati jibu. kaona bora atizame zake juu ya paa ahesabu idadi ya misumari iliyotumika....napo bado hapati jibu.
nikikumbuka alivyokuwa anajibu kwa jeuri kuhusu madhira yaliyompata lissu baada ya kupigwa risasi, naishia tu kusema malipo ni hapahapa
Vyote kwake ni batili tu wala mafungu hayampi furahaWala hana wasiwasi anasubiria posho na mafungu kedekede
Hivi wewe na Ndugai nani anaishi kama msukule?,unashinda mtandaoni kama fisi maji tu kuandika takataka tuMatokeo yake heshima na furaha yake vyote vimefukuzwa. Anaishi kama msukule kwenye hii dunia pamoja na hela yake yote aliyo nayo.
What are the difference?Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Dr?Hivyo vikao vya muda mrefu sio rahisi mtu awe na pozi la aina moja kwa muda wote, lazima kibinadamu kuna muda wa concentration, lakini pia kuna muda uchovu utakuwepo, na hii hutokea kwa yeyote haijalishi uwe ulitumbuliwa kwa lazima, au bado upo unakula kuku ofisini.
Naamini hata Dr. Samia bae kuna wakati vikao vikiwa vinaendelea huonesha sura ya uchovu, hasa kama akiwa ni msikilizaji.
Kama anamlilia Muumba aliyeisahau nchi yake.Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Hahaha! Kwa ubongo gani alionao?Mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury mh Job Ndugai
Hana ham masikini 😂😂😂Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
sawa posho atapata....but he seems to miss a very important thing in his life, and that thing is power and respect. kwa sasa vyote viwili hana.Wala hana wasiwasi anasubiria posho na mafungu kedekede