Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Alijitakia, siku zote heshimu mamlaka iliyo juu yako. Angalia Tulia anavyojiachia. Hana nidhamu
 
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798
Maisha hayana formula
 
Ndugai na marehemu walikuwa ni watu wenye upeo mfupi. Uwezo wao wa kuona mambo ulikuwa unaishia mahali walipo hiyo siku.

Hawakuwa watu wa kuiona kesho. Ndiyo maana walitenda mengi mabaya ya hovyo, wakiamini Dunia itakuwa hivyo hivyo siku zote, kama siku walipokuwa wakitenda uovu.

Ndugai ndiye alisema kuwa atampeleka CAG ofisini kwake kwa pingu.

Mara akawa anawaambia watu kuwa wasicheze na spika. Ana madaraka makubwa sana.

Alishindwa hata kutofautisha kati ya Spika na Ndugai, akidhani Ndugai = spika. Ndiyo maana kila kinachoendelea haamini.

Ukipewa dhamana, uitumikie kwa hekima. Nafasi zote zenye heshima kubwa, ukizitendea uovu, na aibu yake ni kubwa. Leo Ndugai akipita mahali popote, watu wanakuambia, "umemwona Ndugai, amepita hapo", na kila anayenena hafanyi kwa kumheshimu bali kwa kumfedhuli.
Umeandika kama MTU ambaye hajitambui
 
Anaomba Magufuli afufuke
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).

Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.

Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.

View attachment 2438798

Anaomba Mungu aingilie kati Magufuli afufuke
 
Mzee wa Nazareth alijisahau sana huyu mwamba hakujua hata u spika wake ilikiwa ni mali ya ma bosi zake wa chama..

Kashajifunza sasa namna nguvu ya mwenyekiti wa CCM taifa ilivyo..

Mwendazake aliwajaza ujinga sana hawa jamaa, wakajisahau.
 
Back
Top Bottom