Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ndugai na marehemu walikuwa ni watu wenye upeo mfupi. Uwezo wao wa kuona mambo ulikuwa unaishia mahali walipo hiyo siku.
Hawakuwa watu wa kuiona kesho. Ndiyo maana walitenda mengi mabaya ya hovyo, wakiamini Dunia itakuwa hivyo hivyo siku zote, kama siku walipokuwa wakitenda uovu.
Ndugai ndiye alisema kuwa atampeleka CAG ofisini kwake kwa pingu.
Mara akawa anawaambia watu kuwa wasicheze na spika. Ana madaraka makubwa sana.
Alishindwa hata kutofautisha kati ya Spika na Ndugai, akidhani Ndugai = spika. Ndiyo maana kila kinachoendelea haamini.
Ukipewa dhamana, uitumikie kwa hekima. Nafasi zote zenye heshima kubwa, ukizitendea uovu, na aibu yake ni kubwa. Leo Ndugai akipita mahali popote, watu wanakuambia, "umemwona Ndugai, amepita hapo", na kila anayenena hafanyi kwa kumheshimu bali kwa kumfedhuli.