That is what goes around comes aroundPicha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798LAANA ITAMTAFUNA MPAKA KABURINI!
Huyu alifukuza sana wapinzani bungeniPicha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Matokeo yake heshima na furaha yake vyote vimefukuzwa. Anaishi kama msukule kwenye hii dunia pamoja na hela yake yote aliyo nayo.Huyu alifukuza sana wapinzani bungeni
Nilitaka niseme kuwa furaha sio pesa.Kweli pesa haikupi furaha ndugai huyu anamiliki petrol station za kutosha hapo Dodoma.......
Senior Jobless natafuta kazi yyte.
Hayo ni matokeo ya dhambi ya zuluma za haki alizopoka kwa wanyonge!Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Enzi zake alitenda dhulma mbaya sana. Hasa nikikumbuka maneno yake ya dhihaka dhidi ya Lisu wakati akiwa yuko hoi kitandani akawa anasema hajui alipo!!Hayo ni matokeo ya dhambi ya zuluma za haki alizopoka kwa wanyonge!
Huwa wakiambiwa kwamba ubaya hulipwa hapahapa duniani wanadhani tunawaambia wale viwavi-jeshi.ππππEnzi zake alitenda dhulma mbaya sana. Hasa nikikumbuka maneno yake ya dhihaka dhidi ya Lisu wakati akiwa yuko hoi kitandani akawa anasema hajui alipo!!
Akamvua ubunge na kumnyima stahiki zake. Acha apate mateso angali hai.
Sheria au kanuni wanazitengeneza na kuzitetea wenyewe bila kujua kwamba siku moja hizo hizo zitakuja kukudhibiti na wewe uliyeshiriki kuziweka ukidhani wewe hazitakuhusu !! Note : Katiba ndio sheria mama !!Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Huyu hawezi kupewa wadhifa wowote maana amemponda mama hadharani nq mama akafura kama kifutu.Apewe uwaziri
Marehemu SITTA alipewa uwaziri baada ya usupika
Wacha avune alichopanda.Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa ccm (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko kuendelea kukaa ukumbini.
View attachment 2438798
Siasa ni Si-hasa !!Huyu hawezi kupewa wazifa wowote maana amemponda mama hadharani nq mama akafura kama kifutu.
Kweli. Hakunaga adui/rafiki wa kudumuSiasa ni Si-hasa !!