Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

picha inazungumza sana. kiukweli jamaa hana furaha na uwepo wake hapo.

anajumlisha,anatoa,anagawanya,anazidisha lakini wapi hapati jibu. kaona bora atizame zake juu ya paa ahesabu idadi ya misumari iliyotumika....napo bado hapati jibu.

nikikumbuka alivyokuwa anajibu kwa jeuri kuhusu madhira yaliyompata lissu baada ya lissu kupigwa risasi, naishia tu kusema malipo ni hapahapa.
 
Wala hana wasiwasi anasubiria posho na mafungu kedekede
 
Sipati picha ccm ya awamu hii ingekuwaje iwapo ccm ya awamu iliyopita ingekuwa bega kwa bega na upinzani.

TL na JPM wangekuwa marafiki, Mbowe na Ndugai wangekuwa marafiki.
 
Acha apate malipo yake angali hai
 
Matokeo yake heshima na furaha yake vyote vimefukuzwa. Anaishi kama msukule kwenye hii dunia pamoja na hela yake yote aliyo nayo.
Hivi wewe na Ndugai nani anaishi kama msukule?,unashinda mtandaoni kama fisi maji tu kuandika takataka tu
 
What are the difference?
 
Dr?
 
Kama anamlilia Muumba aliyeisahau nchi yake.
 
Hana ham masikini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wala hana wasiwasi anasubiria posho na mafungu kedekede
sawa posho atapata....but he seems to miss a very important thing in his life, and that thing is power and respect. kwa sasa vyote viwili hana.

alikuwa kwenye powerful circle iliyokuwa inafanya maamuzi mazito ya nchi. kuwepo nje ya hiyo circle kumemtia unyonge sana. he is weak and powerless.

ndugai hakuwa mtu wa kukaa sehemu kinyonge ajikunyate namna hiyo. hiyo ni ishara kwamba hana furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…