Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

Ndugai na marehemu walikuwa ni watu wenye upeo mfupi. Uwezo wao wa kuona mambo ulikuwa unaishia mahali walipo hiyo siku.

Hawakuwa watu wa kuiona kesho. Ndiyo maana walitenda mengi mabaya ya hovyo, wakiamini Dunia itakuwa hivyo hivyo siku zote, kama siku walipokuwa wakitenda uovu.

Ndugai ndiye alisema kuwa atampeleka CAG ofisini kwake kwa pingu.

Mara akawa anawaambia watu kuwa wasicheze na spika. Ana madaraka makubwa sana.

Alishindwa hata kutofautisha kati ya Spika na Ndugai, akidhani Ndugai = spika. Ndiyo maana kila kinachoendelea haamini.

Ukipewa dhamana, uitumikie kwa hekima. Nafasi zote zenye heshima kubwa, ukizitendea uovu, na aibu yake ni kubwa. Leo Ndugai akipita mahali popote, watu wanakuambia, "umemwona Ndugai, amepita hapo", na kila anayenena hafanyi kwa kumheshimu bali kwa kumfedhuli.
 
Hapo anakumbuka alivyokuwa anakatiza mitaa ya Galilaya
 
Tusiwe wanafki, alikua ni tatizo no matter what, alichokipata ndio haki yake!
 
Itoshe kusema anafanya MAGAZIJUTO!!!
 
Jamani leo nimeamini kila "%@&^%$+(" ana siku yake... sijui anatizama nini masikini ya Mungu....
 
Matokeo yake heshima na furaha yake vyote vimefukuzwa. Anaishi kama msukule kwenye hii dunia pamoja na hela yake yote aliyo nayo.
Ni huyu huyu kipindi fulani eti alitishia watu, mutanitambua mimi ni "NANI" utaletwa kwa pingu, Dunia simama nishuke...
 
Kuna hukumu imetoka ya kuvunja Katiba bahati nzuri mwenzake alishakufa haijamkuta

Sasa Ndugai yeye anasubiri hukumu yake pia na bahati nzuri hatatukubali afe hadi hukumu itoke
No tutampatia Ndugai "court summons" ampelekee...
 
mzee wa atake asitake wa atake asitake mungu fundi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…