Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.

Pia soma; Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

====

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB MDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo January 12,2022

IMG_20220112_165948_498.jpg
 
Hey.jpg

Baada ya kutoka Zanzibar kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ras Samia amekutana na Spika aliyejiuzulu, Jacob Ndugai Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo mchana
 
Siujui kwanini nilisita kulisema hili hapa JF kwani lilinijia kichwani tangu jana kuwa linaweza kutokea

Nilichotaka kusema ni uwezekano wa Ndugai kuitwa Ikulu kwa lengo la kupozwa na kupigwa picha ya pamoja kama hii ili kuonyesha umma kuwa Mama na Spika wako pamoja.

Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.

Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.

Under certain circumstances, it is very easy to foresee or predict negative things that our politicians are likely do or say. But under the same or different circumstances, it is very difficult to predict or foresee positive things that our politicians are likely to do or say.

As a nation, we are very unlucky.
 
Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Chief Hangaya kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.View attachment 2078300

Sent using Jamii Forums mobile app
Huchelewi kusikia karudi Zanzibar usiku huu na ukamuona kwenye kajisherehe fulani huko urojoni Zenji.
 
Utamkumbuka Lissu na Kibatala na walivyo na mioyo myeupe wangekutetea hawa kina Yezebeli wasikunyanyase kiasi hiki lkn sasa unaisoma namba na huyu mama hajamaliza kazi na wewe.

Atamtumia speaker ajaye kukufunga jela na tena utamkumbuka Lissu. Jumanne Kilangahe, Good luck, Mahita na Kingai wameshabainika wajipange kazi umeanza. Mbwa nyie
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
 
Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Ndugai kachukia anashindwa hata kuficha.
 
  • Thanks
Reactions: MCN
Siyo wameenda kujadili mafao yake ili angalau aipunguzie serikali mzigo. Yaani kiinua mgongo, winding up, gari jipya, lita 70 za mafuta kila wiki, dereva, n.k lazima apunguze vipengele vingine siyo kwa mkwanja huu.
 
Back
Top Bottom