Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma
Hiv kaenda mwenyew au kaitwa, wataalamu watupe ufafanuzi apa
Ameenda kumhakikishia Bi Mikopo kwamba serikali yake kwa mwendo huu wa kopakopa na tozotozo, haiwezi kufika kokote! Itakuwa wamepinga (wamebeti) kwa kidole kidogo: ^NGOJA TUONE! YES, TUTAONA!^ 🙂
 
Utamkimbuka Lisu na Kibatala na walivyo na mioyo myeupe wangekutetea hawa kina Yezebeli wasikunyanyase kiasi hiki lkn sasa unaisoma namba na huyu mama hajamaliza kazi na wewe. Atamtumia speaker ajaye kukufunga jela na tena utamkumbuka Lisu. Jumanne Kilangahe, Good luck, Mahita na Kingai wamesha bainika wajipange kazi umeanza. Mbwa nyie
Bunge lilishapitisha Sheria ya kutomshitaki Spika kwa alichokifanya akiwa madarakani.
 
Kwa hyo kavaa kichui chui ili tumwogope?

Ndugai n sawa na mtaka nyingi nasaba na kuambulia msiba

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
1641996973604.jpeg
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama samiah mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya mpoteze nuru.
Unatamanije bibi wa miaka 62 mkuu?
 
Back
Top Bottom