Siujui kwanini nilisita kulisema hili hapa JF kwani lilinijia kichwani tangu jana kuwa linaweza kutokea
Nilichotaka kusema ni uwezekano wa Ndugai kuitwa Ikulu kwa lengo la kupozwa na kupigwa picha ya pamoja kama hii ili kuonyesha umma kuwa Mama na Spika wako pamoja.
Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.
Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.
Under certain circumstances, it is very easy to foresee or predict negative things that our politicians are like to do or say. But under the same or different circumstances, it is very difficult to predict or foresee positive things that our politicians are likely to do or say.
So what?
Wamekuta ili kupiga picha?
Sisi tunataka kusikia issues (lengo la wao kukutana na nini kimezaliwa) na sio blah blah za kupiga picha wakiwa wamenuna na kuogopana.
Hey! Come on! Hujui kusoma, lipicha nalo likushinde? Tifu ya Mstaafu JYN na Bi Mikopo wala hata huhitaji kupata maelezo ili kujua wamediskasi nini.
It's a matter of paying some close attention to the photo, basi unapata majibu yote mujarabu plus yale ya maswali unayoweza kuwa nayo kesho. Umeelewa sasa?
Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Chief Hangaya kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
www.jamiiforums.com
====
RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB MDUGAI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo January 12,2022 View attachment 2078328
Siyo wameenda kujadili mafao yake ili angalau aipunguzie serikali mzigo. Yaani kiinua mgongo, winding up, gari jipya, lita 70 za mafuta kila wiki, dereva, n.k lazima apunguze vipengele vingine siyo kwa mkwanja huu.
Siujui kwanini nilisita kulisema hili hapa JF kwani lilinijia kichwani tangu jana kuwa linaweza kutokea
Nilichotaka kusema ni uwezekano wa Ndugai kuitwa Ikulu kwa lengo la kupozwa na kupigwa picha ya pamoja kama hii ili kuonyesha umma kuwa Mama na Spika wako pamoja.
Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.
Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.
Under certain circumstances, it is very easy to foresee or predict negative things that our politicians are like to do or say. But under the same or different circumstances, it is very difficult to predict or foresee positive things that our politicians are likely to do or say.
View attachment 2078302
Baada ya kutoka Zanzibar kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ras Samia amekutana na Spika aliyejiuzulu, Jacob Ndugai Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo mchana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Jumatano Januari 12, 2022 amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.