Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tusidanganyane. Ingelikuwa siyo uadui asingejiuzulu. Over n' Out.Siasa siyo uadui.
Huchelewi kusikia karudi Zanzibar usiku huu na ukamuona kwenye kajisherehe fulani huko urojoni Zenji.Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Chief Hangaya kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.View attachment 2078300
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo stori tena. Tunataka kusikia covid wameondolewa bungeni..Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Ndugai kachukia anashindwa hata kuficha.Chief Hangaya baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...