Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

ndugai ndo wale wale tu.
Ccm hakujawahi kuwa na mtu mwenye uchungu na nchi hii.
 
Nchi hii inaenda kusilimishwa huku tunaona. Waarabu hawajawahi kuwa watu wema tangia nyakati hizo.
1. Manamba waliopelekwa kipindi cha ukoloni uarabuni walihasiwa na mpaka SASA hakuna kizazi chochote huko cha weusi

2. Leo ngorongoro wazawa wanatolewa kwasababu ya muwekezaji mwarabu.

Ifike mahali tuheshimu utu na kuupigania Kwa gharama zote. This is our country
 
IPO siku tunaweza amka tukasikia AMESUSA, me nawajua sn watu hao pressure ikiwa kubwa. Tusubiri.
 
Raia wanakutuhumu kuwa umewauzia Waarabu mbuga yao, lakini wapambe wako wanakusaidia kukanusha kibishi. Wewe ghafla unapanga ziara kuwatembelea watuhumiwa?
Sidhani kama anashauriwa vizuri.

Na kama anashauriwa vizuri basi anafanya maamuzi mabaya.
 
Bado hatujaeaelewa Wana umoja
 
😀😀 Ipo siku wananchi wote tutazungumza lugha moja
Kama tumeshindwa kuongea lugha Moja kwenye mambo yenye maslahi Kwa taifa kama katiba mpya🤔Je lini tutaongea lugha Moja kama taifa? Au kwenye kuuzwa Kwa taifa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…