WAcheni kuhadaa wananchi ili tuamini wekeni mikataba yao tuoneNgorongoro imeshauzwa kwa muarabu kilichobakia ni mauaji ya raia ili akabidhiwe eneo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAcheni kuhadaa wananchi ili tuamini wekeni mikataba yao tuoneNgorongoro imeshauzwa kwa muarabu kilichobakia ni mauaji ya raia ili akabidhiwe eneo.
Nchi hii inaenda kusilimishwa huku tunaona. Waarabu hawajawahi kuwa watu wema tangia nyakati hizo.Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.
Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.
Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi kwa manufaa ya taifa letu kwa ujumla.
Huko Ngorongoro ndio kuna utata mkubwa. Tunaambiwa na wajuaji kuwa waarabu wameshanunua wanyama na maeneo kwa manufaa yao na wanasiasa waliopo madarakani.
Mnapigwa mnada huku mnaona kwa macho yenu.
IPO siku tunaweza amka tukasikia AMESUSA, me nawajua sn watu hao pressure ikiwa kubwa. Tusubiri.Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.
Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.
Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi kwa manufaa ya taifa letu kwa ujumla.
Huko Ngorongoro ndio kuna utata mkubwa. Tunaambiwa na wajuaji kuwa waarabu wameshanunua wanyama na maeneo kwa manufaa yao na wanasiasa waliopo madarakani.
Mnapigwa mnada huku mnaona kwa macho yenu.
Chuki zako kwa Ndugai ni sababu tu aliwashughukikia Chadema?
Afadhali huyo kuliko anayeuza rasilimali za Nchi
Sidhani kama anashauriwa vizuri.Raia wanakutuhumu kuwa umewauzia Waarabu mbuga yao, lakini wapambe wako wanakusaidia kukanusha kibishi. Wewe ghafla unapanga ziara kuwatembelea watuhumiwa?
Bora wawafukuze tyuuh, kuliko kuwaua jaman, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ngorongoro imeshauzwa kwa muarabu kilichobakia ni mauaji ya raia ili akabidhiwe eneo.
😀😀 Ipo siku wananchi wote tutazungumza lugha mojaSidhani kama anashauriwa vizuri.
Na kama anashauriwa vizuri basi anafanya maamuzi mabaya.
Bado hatujaeaelewa Wana umojaMwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.
Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.
Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi kwa manufaa ya taifa letu kwa ujumla.
Huko Ngorongoro ndio kuna utata mkubwa. Tunaambiwa na wajuaji kuwa waarabu wameshanunua wanyama na maeneo kwa manufaa yao na wanasiasa waliopo madarakani.
Mnapigwa mnada huku mnaona kwa macho yenu.
Kama tumeshindwa kuongea lugha Moja kwenye mambo yenye maslahi Kwa taifa kama katiba mpya🤔Je lini tutaongea lugha Moja kama taifa? Au kwenye kuuzwa Kwa taifa🤔😀😀 Ipo siku wananchi wote tutazungumza lugha moja
Acha hizi akili unatuhaibisha umekosa hoja kabisa.Sukuma gang kazini
Huyo andunje buku jero tuTunaanza na kumpiga mnada jobo mwenyewe..
Nipeni bei ya jobo !