Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Mbona gjafla imekuaje na kura ya maoni amepitaAliyekuwa Spika wa Bunge la JMT, Job Ndugai hatunaye tena duniani.
Je habari hii ni ya kweli?
Mbona gjafla imekuaje na kura ya maoni amepitaAliyekuwa Spika wa Bunge la JMT, Job Ndugai hatunaye tena duniani.
Je habari hii ni ya kweli?
Ni kwel confirmedLeo bar zitafurika Kama ni kweli
Aliyataka mwenyewe. Badala ya kupumzika ameng'ang'ana tu na siasa. Stress za kura za maoni huenda zimepandisha pressureAliyekuwa Spika wa Bunge la JMT, Job Ndugai hatunaye tena duniani.
Je habari hii ni ya kweli?
We vipi vya bar huwa unafikia urefu vile viti wewe ni short mkuuHii habari Kama ni kweli Leo bar zitafurika
Kweli aisee, jamaa hakuelewa!Wajumbe Walimwambia tutakusaidia kupumzika naona hakuwaelewa vizuri
Afadhali amefariki dunia. Huyu ni mmoja ya waliochangia kuharibu demokrasia ya nchi hii.
Siyo RahisiApumzike kwa amani!