TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pumzika kwa Amani Ngugai- mpelekee mrejesho JPM na mambo yanavyoendelea huku duniani kama ulivyo yaacha... kelele za uchaguxi na vilio vya kutaka haki kila corner. Mwambie kwamba Tundu Lissu bado yuko mahabusu...
 
Hatari sana aisee...

DODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
 
Wajumbe Walimwambia tutakusaidia kupumzika naona hakuwaelewa vizuri
20250806_072444.jpg
Marehem alaikum kada mtiifu
 
Back
Top Bottom